The_Emperor
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 871
- 125
Ile sura ni ya mtoto wa miaka10 + 5?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu mcheck hapo!!
View attachment 54319
This is not fair guys..huyu ana miaka 15..JF ikiamua kumchafua mtu..dahh!!!
nakata rufaa hili kwekwerekwe halina miaka 15/16. Mbona anasura ngumu kama jabali?
jamani huyu mtoto ana miaka 16 ni vyakula 2navyokula siku hizi kama kwenu wanauwezo we unafikiri chakula anachokula huyu unaweza kulinganisha na unachokula we
mi naamini ana miaka 16 coz sisi 2liobahatika kufanya biashara maeneo wanapokaa matajiri au walionaza 2nafahamu zaidi jinsi watoto wao wanavyokula
kwa mfano kuna mtoto namfahamu ana miaka 13 but ukimuona unaweza sema ana 18-20 kwahiyo mi nimemjaji kwa ninavyomfahamu
Kwani kanasoma kidato cha ngapi?
yupo kidato cha tatu mkuu
huyu faiza ni mnyamapori gani?