Faizafox anautesa moyo wangu jamani

Faizafox anautesa moyo wangu jamani

🙄🙄 Mapeeenzi hayana mwenyeeewe, unaweza penda Kijana Au mzeeee!!
[emoji444][emoji444] niite jina langu bebii ,huenda nafsi yangu ikapoa ....shika moyo wangu bebii ,unavyokwenda mbio ww utapoaa ..kuna muda namuomba mungu angetuweka mapemaa ...
 
Km unadhan avatar ile ni yeye bas hata avatar yako ni ww
Yaani kitu real mkuu ..hakuna kufake hapaa .. si unaikumbuka ile nyimbo inaimbwa...;

Ama keep reeeeeal ..Ama keep Og
Ama keep reeeeeal ..Ama keep Og [emoji444][emoji444][emoji445]
 
Msione hivi mwenzenu kila siku silali namuwaza huyu bibie mrembo na kipenzi cha moyo wangu FAIZA FOX Y.
Tatzo mm ni domo zege na ninahofia sijui niingie na gia gani ya kumtongoza bibie maana sio wa mchezo mchezo useme eti atakukubalia tu harakaharaka muwe wapenzi.

Kwakweli nimeamua kubadili mpaka dini ili nimpate bibie kipenzi cha moyo wangu,najua itakuwa sio rahisi lakini nitajitahidi mpaka nimpate mrembo huyu asiye na maringo wala majivuno.

Faiza fox bebi wangu mtarajiwa,nakuomba unionee huruma mwenzio silali,sipati hata hamu ya kula yaani nikiona post yako tu jf ninachoka kabisa, Najua utakuwa umeshaolewa kitambo lakini PLEASE naomba ufanye juu chini ikiwezekana niwe hata mchepuko wako kwani ukinikatalia naweza hata nikanywa sumu jaman ..

Naomba na WANA JAMII FORUM wenzangu mnisaidie jamani kuniunganishia kwa huyu cha moyo wangu jamani nateseka mimi.
Akina Mshana jr na wengine naomba sana jamani niko seriously jamani naombeni mniokoe nisije nikanywa sumu bure na nyie mpo mnaoweza kuniunganishia kwa bebi wangu wa moyo faiza foxy

_dume suruali_
Muombe Radhi dada yetu umemdhalilisha sana na kumvunjia Heshima yake unapomwambie niwe

" hata mchepuko wako"

Kweli maneno haya unaweza kumuambia mtu unayemweshimu Kweli? Mtake radhi Dada yetu kwa kumdhalilisha na kumfedhehesha
 
Yaani mkuu unampenda [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji3] [emoji3] huyu ndo FF mwenyewe sasa kazi kwako.
 

Attachments

  • tapatalk_1478770849768.jpeg
    tapatalk_1478770849768.jpeg
    13.7 KB · Views: 28
Muombe Radhi dada yetu umemdhalilisha sana na kumvunjia Heshima yake unapomwambie niwe

" hata mchepuko wako"

Kweli maneno haya unaweza kumuambia mtu unayemweshimu Kweli? Mtake radhi Dada yetu kwa kumdhalilisha na kumfedhehesha
Kwani mtu unaye muheshimu huwezi kumpenda .?
 
Back
Top Bottom