tatizo muda
Member
- Jan 26, 2017
- 97
- 69
Nnampa[emoji724]Huwa nnampa za uso humu humu jukwaani.
Nnampa[emoji724]Huwa nnampa za uso humu humu jukwaani.
Nnampa[emoji724]
Ninampa[emoji736]
Nampa[emoji736]
Kwani huko shule mlikwenda kusomea ujinga.
umerogwa?FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
hahahahaUmeandka ktu gani ndugu?si ulale tu kuliko kupoteza chaji na MB bure! km umeishiwa cha kupost!!
Kiswahili cha wapi "nina" ni tusi??? Labda kiswahili cha Korea. Ingawa "nina " inapopachikwa na maneno mengine kama "kum*** na kusomeka kum***nina inaweza kuwa tusi. Lakini hapa ninampa, "Ni" imetumika kama kiambishi cha nafsi, nafsi ya kwanza umoja....."Na" imetumika kama kiambishi cha wakati na hali, wakati uliopo. "Mpa"....ni mzizi. Sasa hiyo nina ambayo ni tusi umeitoa wapi????"nina" Kiswahili ni tusi.
Akuoe nani wewe?
Kiswahili cha wapi "nina" ni tusi??? Labda kiswahili cha Korea. Ingawa "nina " inapopachikwa na maneno mengine kama "kum*** na kusomeka kum***nina inaweza kuwa tusi. Lakini hapa ninampa, "Ni" imetumika kama kiambishi cha nafsi, nafsi ya kwanza umoja....."Na" imetumika kama kiambishi cha wakati na hali, wakati uliopo. "Mpa"....ni mzizi. Sasa hiyo nina ambayo ni tusi umeitoa wapi????
Inzi akiacha ujinga kidogo ataweza kutengeneza asali.
Sema huna sifaMie kuolewa kwetu mwiko.
Atakutokea sasa hivi na matusiHivi ni jina lake halisia - ninaamanisha FaizaFoxy- sio jina la mtandaoni tu? Sio mwanamume huyu? Mimi siamini mpaka nimwone kikwelikweli!
Wewe uumpe nani za uso?unadhani mimi ni muosha miguu kama wewe?Huwa nnampa za uso humu humu jukwaani.
Wewe tu ndio unamuona ana maana lkn kwetu sisi tunao mjua ni 00000Kama kuna mtu atamchukia huyu mwanamke labda kwasababu ya Dini yake tu
lkn kiukweli kabisa huyu mwanamke yupo makini
mm binafsi nafuatilia sana michango yake pia ningependa sana kumfahamu zaid
Acha kupiga mayowe.....lete hoja ni wapi "nina" imetumika kama tusi????Kiswahili hukijuwi.
Sema huna sifa
Wewe tu ndio unamuona ana maana lkn kwetu sisi tunao mjua ni 00000