Faizafoxy Mwanamke wa shoka, ubishe usibishe

Kama kuna mtu atamchukia huyu mwanamke labda kwasababu ya Dini yake tu

lkn kiukweli kabisa huyu mwanamke yupo makini

mm binafsi nafuatilia sana michango yake pia ningependa sana kumfahamu zaid
 
FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
umerogwa?
 
"nina" Kiswahili ni tusi.
Kiswahili cha wapi "nina" ni tusi??? Labda kiswahili cha Korea. Ingawa "nina " inapopachikwa na maneno mengine kama "kum*** na kusomeka kum***nina inaweza kuwa tusi. Lakini hapa ninampa, "Ni" imetumika kama kiambishi cha nafsi, nafsi ya kwanza umoja....."Na" imetumika kama kiambishi cha wakati na hali, wakati uliopo. "Mpa"....ni mzizi. Sasa hiyo nina ambayo ni tusi umeitoa wapi????

Inzi akiacha ujinga kidogo ataweza kutengeneza asali.
 
Hivi ni jina lake halisia - ninaamanisha FaizaFoxy- sio jina la mtandaoni tu? Sio mwanamume huyu? Mimi siamini mpaka nimwone kikwelikweli!
 
Kiswahili cha wapi "nina" ni tusi??? Labda kiswahili cha Korea. Ingawa "nina " inapopachikwa na maneno mengine kama "kum*** na kusomeka kum***nina inaweza kuwa tusi. Lakini hapa ninampa, "Ni" imetumika kama kiambishi cha nafsi, nafsi ya kwanza umoja....."Na" imetumika kama kiambishi cha wakati na hali, wakati uliopo. "Mpa"....ni mzizi. Sasa hiyo nina ambayo ni tusi umeitoa wapi????

Inzi akiacha ujinga kidogo ataweza kutengeneza asali.

Kiswahili hukijuwi.
 
Kama kuna mtu atamchukia huyu mwanamke labda kwasababu ya Dini yake tu

lkn kiukweli kabisa huyu mwanamke yupo makini

mm binafsi nafuatilia sana michango yake pia ningependa sana kumfahamu zaid
Wewe tu ndio unamuona ana maana lkn kwetu sisi tunao mjua ni 00000
 
Back
Top Bottom