Faizafoxy Mwanamke wa shoka, ubishe usibishe

Faizafoxy Mwanamke wa shoka, ubishe usibishe

Kama alisoma hiyo kitu kwa miaka ile.. Salute&much respect.
 
Ungesema amepogwa shoka kama wanawake wengine ningekuelewa.
 
Ngoja nisubiri FaizaFoxy aje nione akiona hapo kwenye blue atafanyaje.
Je atapotezea sababu umemsifia vya kutosha, au shughuli itakua ni ile ile ya shule mmeenda kusomea ujinga au
Nasikia ana ban
 
Ni kweli huyu mama ni jembe lakini sio kuzidi wote..kuna mtu anaitwa kiranga huyu ni hatari sana.. au akina maxshimba..Jew..au kyoma au kichuguu..mkuu wa chuo n.k..kuna majembe yametulia
Kwani kiranga ni mwanamke?
 
FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
6c01d2962d10d2cf26416a685c827599.jpg
 
Siku hizi jamaa umekua mweupe sana,,yaani wewe ndio wakuandika ujinga huu,,....
 
Hii inatusaidia nini kujua biography ya mtu ambae hata hatumii jina au picha yake halisi?
 
ninakubaliana na wewe kwa asilimia 99 mkuu,kwa identity ya mwanamke kwanza anacapture attention ya wanaume automatically uwezo wa kutoa hoja kwa wengi unakwisha coz naturally mwanaume kubishana na mwanamke haijakaa sawa,,,faizafoxy sio mtu mmoja,na ni kikundi walau cha watu wenye ka upeo flan ka kufikiri
Naona mmekiri kawazidi uwezo wa kufikiri.
 
Wanaume wa dar busy kimdiscuss kibibi,haya sasa bado wema!
 
Ana uelewa mkubwa na uzoefu wa maisha lazima awabuluze vilaza
 
Back
Top Bottom