Good story, nasuburi muendelezo......Kisa cha ukweli Kariakoo na Ilala.
Kuna bonti Ma Shaa Allah alikuwa anakaa mitaa ya Ilala ni mtoto wa sngo Mother, inaonesha mama alimzaa huyu Binti akiwa na yeye ni mdogo kaboisa, kwani kama hujaambiwa kuwa ni binti yake utafikiri ni mru na dadake.
Binti alivyomaliza form lv akapatiwa kazi "town" huko ambapo wakuja mnapaita "posta". Kwenye duka la Muhindi la kuuza nguo, mtoto Ma shaa Allah haukupita muda mtoto wa mzee mwenye duka, duka maarufu sana kwa wenyeji wa Dar, aka fall kwa binti. Huyo mtotowa mwenye duka akawa anamtembelea kwao ilala, tunaziita nyumba za nyumba za sita, zile za national housing, wenyeji wa dar watanielewa.
Kijana wa kihindi kwa kuwa kwao pesa zipo na mahaba motomoto na binti kashika ujauzito haraka haraka, akaamuwa amkodishie flat kariakoo, ili kijana anapomtembelea mpenzi wake iwe kwenye mazingira aliyoyazowea zowea, siyo yale ya Ilala nyumba yenye wapangaji kila sampuli, mmoja akiwachia shuzi chumba cha pili, sauti mpaka vyumba vingine, kama siyo na harufu pia.++Basi ikawa faraja kubwa, mama na mwanawe wakahamia kwenye flat Kariakoo, wakaambiwa wabebe nguo zao tu, fanicha zote kaweka mtoto wa kitajiri, ili mradi, hakuna kilichopunguwa ndani ya nyumba...
Itaendelea, coffee break.
Kwanza kabisa hakikisha unapoowa uwe katika hali ya uchumi wako wa kawaida kabisa, usingoje mpaka ukusanye pesa au ujioneshe kuwa una pesa. Mwanamke inatakiwa muowane ukiwa katika hali duni siyo katika hali nono ya "kula bata".Je nitafute mwanamke wa hadhi gani ili niwe na Imani kwamba hajanikubalia kwa sababu kiuchumi familia yangu tuna Uwezo mzuri Vipato vya wastani na uhakika wa maisha.nawaza labda nichaguapo mchumba ama mke basi na yeye atokee familia bora awe na kazi kama Mimi ili niwe Naimani kwamba hajanikubali ili anitegemee/watutegemee....nisingependa majibu yako yawe kwamba Mpende mwenye mapenz ya dhati hilo silihitaji kwa sasa lengo kubwa la kuanzisha ndoa nataka liwe la Kuzaa kuwa na familia ..maana najua hata mwenye mapenz ya dhati bado mtararuana tu kelele ni nature ya mwanamke so nataka kdg wa kunisaidia kulea na kutoa huduma kama nikiyumba kidogo je niko sawa
Tusikilize malalamiko ya pande zote na kupatia ufumbuzi bila kuoneana haya wala huruma. Tusiingize "emotions" tuwe wa kweli.Ili kuepusha nchi yetu kuingia kwenye vita vya udini. Unaweza kushauri nini kwa wana dini - wafuasi, kifanyike kuleta umoja na amani?
Maoni yako tafadhali
Wananchi wote turudi kwenye dini ya asili...UislamIli kuepusha nchi yetu kuingia kwenye vita vya udini. Unaweza kushauri nini kwa wana dini - wafuasi, kifanyike kuleta umoja na amani?
Maoni yako tafadhali
... Inaendelea:Kisa cha ukweli Kariakoo na Ilala.
Kuna bonti Ma Shaa Allah alikuwa anakaa mitaa ya Ilala ni mtoto wa sngo Mother, inaonesha mama alimzaa huyu Binti akiwa na yeye ni mdogo kaboisa, kwani kama hujaambiwa kuwa ni binti yake utafikiri ni mru na dadake.
Binti alivyomaliza form lv akapatiwa kazi "town" huko ambapo wakuja mnapaita "posta". Kwenye duka la Muhindi la kuuza nguo, mtoto Ma shaa Allah haukupita muda mtoto wa mzee mwenye duka, duka maarufu sana kwa wenyeji wa Dar, aka fall kwa binti. Huyo mtoto wa mwenye duka akawa anamtembelea kwao ilala, tunaziita nyumba za nyumba za sita, zile za national housing, wenyeji wa dar watanielewa.
Kijana wa kihindi kwa kuwa kwao pesa zipo na mahaba motomoto na binti kashika ujauzito haraka haraka, akaamuwa amkodishie flat kariakoo, ili kijana anapomtembelea mpenzi wake iwe kwenye mazingira aliyoyazowea zowea, siyo yale ya Ilala nyumba yenye wapangaji kila sampuli, mmoja akiwachia shuzi chumba cha pili, sauti mpaka vyumba vingine, kama siyo na harufu pia.++Basi ikawa faraja kubwa, mama na mwanawe wakahamia kwenye flat Kariakoo, wakaambiwa wabebe nguo zao tu, fanicha zote kaweka mtoto wa kitajiri, ili mradi, hakuna kilichopunguwa ndani ya nyumba...
Itaendelea, coffee break.
Mwanaume anaoa,, haya mambo ya kuoana ni umagharibi na femininity ya 50/50.Kwanza kabisa hakikisha unapoowa uwe katika hali ya uchumi wako wa kawaida kabisa, usingoje mpaka ukusanye pesa au ujioneshe kuwa una pesa. Mwanamke inatakiwa muowane ukiwa katika hali duni siyo katika hali nono ya "kula bata".
Pili, muowe kwa vigezo vyake hivi; Kwa uzuri wake, kwa mali zake, kwa nasaba yake na kwa dini yake.
Tatu, hakikisha mnaowana, siyo umemuowa.
Jiepushe kabisa na kuzaa nje ndoa, uasherati na uzinzi ni uchafu.
kama mliowana kwa ndoa nenda ukapime ili uwe kwenye amani, lakini kama mlichukuwana tu mkaishi pamoja na kuzaa, kubali matokeo, ishi kwa amani kama hujuwi kitu na Omba sana toba.Nilihisi mtoto wangu wa kwanza si wangu, ila nilivumilia tu nikiwa na lengo la kumsomesha mpaka amalize chuo kikuu ndo niangalie DNA
Kamaliza Chuo kikuu Mwaka jana, bado moyo unaita nikaangalie DNA, je kwa sasa ni sahihi maana mtoto keshamaliza utegemezi?
Hapana, sivyo hivyo.Mwanaume anaoa,, haya mambo ya kuoana ni umagharibi na femininity ya 50/50.
Mwanaume ana haki na amri ya kuoa hata bila ridhaa ya Binti Bali kama wazazi wake wakiridhia.
kama mliowana kwa ndoa nenda ukapime ili uwe kwenye amani, lakini kama mlichukuwana tu mkaishi pamoja na kuzaa, kubali matokeo, ishi kwa amani kama hujuwi kitu na Omba sana toba.
Hapo "kuoana kwa heshima" sijakuelewa.Tulioana kwa Heshima, nafikiri nitaenda siku sio nyingi.
Mke wa mtu saa 9 usiku huu yupo social media amefungua na uzi.Kichwa cha habari kinajieleza.
Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano.
Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao utajumuisha nasaha zote za kijamii kari itavowezekana,uwe kwa vina, watoto au watu wazima.
Tafadhali tuwe wastahamilivu tusiziwache mada akaanza kushambuliwa mtu yeyote yule. Tunawaomba Moderator s watulinde kwenye hilo.
Nisiwachoshe, tuingie kwenye mada. Nakaribisha maswali. Yatapokosekana maswali ntachochea mada kwa kuwaletea visa vya mahusiano ambavyo kidogo visivyo vya kawaida "twisted".
kadiriKichwa cha habari kinajieleza.

Nilifahamu watu kama wewe hamkosekani, nikaandika hivi post namba moja. Unaonesha hujasoma au unachokisoma huelewi:Mke wa mtu saa 9 usiku huu yupo social media amefungua na uzi.
Hivi huko kwenye mafunzo ya dini namna ya kuishi na mume mlienda kusomea ujinga.
Unakichaa wewe ina asili gan dini yenyewe imetengenezwa na Roma empireWananchi wote turudi kwenye dini ya asili...Uislam
Utakuwa unaongelea ukristo, maana ndo dini iliyotengenezwa na papa wa kwanza Emperòr Nero ili kutawala vizuri watu wa Dola lake.Unakichaa wewe ina asili gan dini yenyewe imetengenezwa na Roma empire