FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

Utakuwa unaongelea ukristo, maana ndo dini iliyotengenezwa na papa wa kwanza Emperòr Nero ili kutawala vizuri watu wa Dola lake.
Hao kina Paulo Mathayo na Marko ni fake characters tu waliotengenezwa ili kufit narrative yake ya kiutawala.
Ukifuatilia historically hakuna ushahidi hao watu waliwahi kuwepo.
Hata agano jipya waandishi wote hawajulikani ni kina nani kuanzia kina Mathayo,Marko Luka na Yohana.
Hata hayo majina sio halisia sio majina ya watu waliofahamika. Bali ni majina tu yalipachikwa kwenye vitabu from unknown authors.
Hakuna ajuaye viliandikwa na nani isipokuwa kanisa katoliki ambalo limeficha hizo Siri.

Bottom line, Wakristo wanaabudu wásichokijua Kwasababu wamefichwa ukweli wa Kila kitu kuhusu imani Yao.
Wewe jamaa anzisha uzi wako uongelee huu upuuzi wako wa dini za kuletewa hizo, acha tupate elimu ya ndoa toka kwa bibi yetu
 
Kichwa cha habari kinajieleza.

Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano.

Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao utajumuisha nasaha zote za kijamii kadri itavowezekana, uwe kwa vijana, watoto au watu wazima.

Tafadhali tuwe wastahamilivu tusiziwache mada akaanza kushambuliwa mtu yeyote yule. Tunawaomba Moderator s watulinde kwenye hilo.

Nisiwachoshe, tuingie kwenye mada. Nakaribisha maswali. Yatapokosekana maswali ntachochea mada kwa kuwaletea visa vya mahusiano ambavyo kidogo visivyo vya kawaida "twisted".
Faiza binti ali Mohamed , naomba hiki kisa kisiishe kwa kuachana, ni kitamu mno

heshima yako lakini mpendwa!
 
Kamtongoze,kafunguwa uzi wa kutongozwa tu:

Embu maliza story bhna wee umeshaa Anza kupisha na watu Tena

Maliza kisa hcho namm nishushe kisa changu
 
Kulea ilikuwa wajibu kumpa mtoto maisha, ila nataka tu jua ubaya wa huyu mchaga wangu ninayeishi naye.

Pia kwa miaka ya utu uzima nataka jua, kama ni wa nje, ni nani huyu alikuwa ananyemelea mke wangu?
umehisi tangia anazaliwa kuwa sio wako umemlea, umesomesha nw ana 23, unataka kujua ile iweje mkuu? unadhani ukishajua kuwa si wako itakusaidia nn, na ukishajua aliyemkula mchaga wako itakusaidia nn? mtu kaliwa 23 yrs ago unataka ujue leo aliyemla? ili ufanye nn, ujutie hela yako uliyopoteza kumlea na kumsomesha huyo mtoto au?, mkuu achana na hzo mambo, umekanyaga bomu ukitoa mguu likilipuka madhara makubwa yatakuwa kwako.
 
Nimevumilia miaka yote hiyo kwa sababu ya maslahi ya mtoto tu basi, kwa sababu ahitaji tena msaada kwa sasa na ni mtu mzima, naona moyo wataman sana kujua.

Kumsomesha na kumlea sijapoteza fedha hata kidogo, ameniita Baba miaka yote na mie nimemtambua kama mtoto, ni wasiwasi tu ninao.
 
umehisi tangia anazaliwa kuwa sio wako umemlea, umesomesha nw ana 23, unataka kujua ile iweje mkuu? unadhani ukishajua kuwa si wako itakusaidia nn, na ukishajua aliyemkula mchaga wako itakusaidia nn? mtu kaliwa 23 yrs ago unataka ujue leo aliyemla? ili ufanye nn, ujutie hela yako uliyopoteza kumlea na kumsomesha huyo mtoto au?, mkuu achana na hzo mambo, umekanyaga bomu ukitoa mguu likilipuka madhara makubwa yatakuwa kwako.
Watu wanaachana 50yrs baada ya kugundua usaliti, our brain is so complex mkuu, hapo alipo ana shauku ya kujua kama ni damu yake au sio, kama ni kulea ameshamaliza, na kwa vile ni kitu amekijua kwa miaka mingi, nadhani amejiandaa kwa majibu yoyote.

Shida naiona kwa kijana, ataweza kulibeba? Ndugu yetu kabla ya kufanya maamuzi ni lazima amuweke kijana kwenye consideration.
 
Ana miaka 23, ikiwa mbaya anatakiwa aweze libeba, ndo maana nimengoja awe matured vizuri, nafikiri, kama sio wangu nimefanya wema mkubwa sana.
 
Nilihisi mtoto wangu wa kwanza si wangu, ila nilivumilia tu nikiwa na lengo la kumsomesha mpaka amalize chuo kikuu ndo niangalie DNA

Kamaliza Chuo kikuu Mwaka jana, bado moyo unaita nikaangalie DNA, je kwa sasa ni sahihi maana mtoto keshamaliza utegemezi?
Usijaribu, Pamoja na farao kuwa katili lakin Mungu ndo aliona anafaa kwa malezi ya musa
 
Kichwa cha habari kinajieleza.

Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano.

Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao utajumuisha nasaha zote za kijamii kadri itavowezekana, uwe kwa vijana, watoto au watu wazima.

Tafadhali tuwe wastahamilivu tusiziwache mada akaanza kushambuliwa mtu yeyote yule. Tunawaomba Moderator s watulinde kwenye hilo.

Nisiwachoshe, tuingie kwenye mada. Nakaribisha maswali. Yatapokosekana maswali ntachochea mada kwa kuwaletea visa vya mahusiano ambavyo kidogo visivyo vya kawaida "twisted".

utatoa wazo gan we mtetezi wa wasomali labda la kutunza mabomu
 
Back
Top Bottom