FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #81
Umeuliza swali zuri na muhimu sana kwenye jamii. Lina majibu marefu sana, tunaweza kuandika kitabu, kwa kuwa kuna sababu nyingi tofauti tofauti ninazoziona zinaweza kupelekea hayo.unadhani ni sababu zipi zinachochea wanawake walio olewa hivi sasa, kuwa warahisi mno ukiwatongoza wanakubali bila hiana na kutoka nje ya ndroa zao bila woga 🐒
Ntakujibu kwa uchache sana post hii.
Ukikutana na mwanamke namna hiyo, elewanhapo kaolewa jina tu la kuolewa lakini hakuna ndoa hapo.
Sikatai kuwa wa namna uliyowataja wapo, pia wanawake wanaoziheshimu ndoa zao wapo.
Hapo kuna sababu nyingi lakini za msingi ni namna ya ndoa, maana kuna ndoa watu hawawachani hata kama kuna mapungufu ya kwenye ndoa zinaitwa "pingu ya maisha", inabidi mstahamiliane tu mpaka kifo kiwatenganishe. Hizi zipo za kiimani na za kimila. Nazo husababisha uzinzi.
Kuna sababu nyingine ni za kisaikolojia, huwa kuna maridhiano kabisa ya mke na mume, kuna baadhi ya wanaume hupenda kuwa na mwanamke malaya, ndiyo booster yao, kwa hiyo humfundisha na kumzowesha kabisa mkewe ili akafanye nje aje kumuhadithia alivyokutana navyo na alivyovifanya huko ndiyo yeye anapata chaji na hamasa ya kujamiiana huongezeka au hupatikana.
Hii hali wengine hufikia mpaka wengine huwaambia wake zao wakisha jamiiana wabaki na uchafu wa kujamiiana ili aje kuuona.
Ukikutana na mwanamke kama huyo kukubalia ni kama kusukuma mlevi tu.
Sababu zingine ni za mwanamke kutoridhishwa na mumewe.
Na sababu zingine nyingi sana, itabidi nikatize hapa maana hii post itakuwa ndefu sana.
Ukitaka kuzielewa nyingine nistuwe niendelee.