Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dalili za hii stori zinaelekea kuonyesha kwamba Apartment ya Mama mkwe tamu. Kuliko ya binti yake.... Inaendelea:
Basi mama na binti yake wakahamia, maisha yakawa mazuri kabisa, kutoka "kajamba nani" mpaka flat ya Kariakoo ni hatua kubwa sana.
Mimba ikawa inakuwa tena, mtoto ikabidi asimame kazi, ana shida gani ya kazi, na buzi la kidosi lipo pembeni? Maisha yakaendelea mpaka binti akajifunguwa.
Alipojifunguwa binti kukaanza kuwa na mabadiliko kidogo mule ndani, ikawa mama akitoka anachelewa kurudi na kijana wa kihindi ikawa time zake za kuja ni kama zamani lakini ikawa akija haoneshi shauku kubwa sana kwa "girlfriend" wake, sivyo kama ilivyokuwa zamani.
Siku moja mwanawe akamuliiza, "mama mbona siku hizi ukitoka asubuhi hurudi mpaka jioni sana, siyo kawaida yako", mama anamwambia nipo bize mwanangu kuna mambo nayashughulikia, utayajuwa tu ikifika muda wake.
Mambo yakaenda hivyo mpaka kuna siku kama mwaka umeshapita tokjamwahamie, mama akamwambia mwanawe "binti yangu mimi nahama, nimepata kwangu". Mtoto akasangaa, hajawahi kukaa mbali na mama'ke toka azaliwe. Mama akamwambia usiw na wasiwasi nipo hapa hapa Kariakoo mitaa mitatu kutoka hapa, mtoto akamwambia, mama kwanini umekwenda kukodi nyumba na nyumba hii inatutosha? Mama akamwambia sikukodi mwanangu, nimepata nyumba yangu mwenyewe ntakupeleka ukapaone. Ngoja nikapaweke sawa kwanza, wewe kaa na mtoto hapa mimi ntamudu, usijali.
Itaendelea...
Acha kukashfu Imani za watu tena ambazo hauzijuwi,ukristo ulianzia Israeli,mwaka wa 29W.KUislam ndio dini ya kwanza na ya mwisho duniani.
Ulianza na Adam pale Eden.
Ukristo kwanza sio dini.
Ni uhuni Fulani tu umeasisiwa na waroma apo katikati
Utaharibu Uzi wa watu,unatukwaza wakristo kwa kuongelea vibaya Imani yetu tena kwa kupotosha.Kama huwezi kwendana na mada kausha,anzisha Uzi wako wa kuuponda ukristoUtakuwa unaongelea ukristo, maana ndo dini iliyotengenezwa na papa wa kwanza Emperòr Nero ili kutawala vizuri watu wa Dola lake.
Hao kina Paulo Mathayo na Marko ni fake characters tu waliotengenezwa ili kufit narrative yake ya kiutawala.
Ukifuatilia historically hakuna ushahidi hao watu waliwahi kuwepo.
Hata agano jipya waandishi wote hawajulikani ni kina nani kuanzia kina Mathayo,Marko Luka na Yohana.
Hata hayo majina sio halisia sio majina ya watu waliofahamika. Bali ni majina tu yalipachikwa kwenye vitabu from unknown authors.
Hakuna ajuaye viliandikwa na nani isipokuwa kanisa katoliki ambalo limeficha hizo Siri.
Bottom line, Wakristo wanaabudu wásichokijua Kwasababu wamefichwa ukweli wa Kila kitu kuhusu imani Yao.
Ya ila kituHiyo yako ya mwanamme "anaoa tu" ni ya mila au ya kidini au ya mazowea tu?
Prove itAcha kukashfu Imani za watu tena ambazo hauzijuwi,ukristo ulianzia Israeli,mwaka wa 29W.K
Huo ni uongo kuwa ndoa zimeanzishwa na uislam,ndoa zilikuwepo hata kabla ya uislam na ukristo.Hapana, sivyo hivyo.
Lichukulie neno "kuowana" kwa maana yake ya Kiswahili. Huwezi kuoanisha raba na kandambili. Ili iwe jozi ya viatu ni lazima viowane. (compatibility).
Ndoa zimeanza na zimetiliwa mkazo sana na Uislam, ukitaka kuwa kwenye furaha fata vigezo vya ndoa vya Kiislam, no jokes.
Sorry kama ukweli unakukwaza.Utaharibu Uzi wa watu,unatukwaza wakristo kwa kuongelea vibaya Imani yetu tena kwa kupotosha.Kama huwezi kwendana na mada kausha,anzisha Uzi wako wa kuuponda ukristo
Ukristo ni Imani inayofwata msingi wa mafunzo ya Mungu kupitia Yesu Kristo,Yesu alibatizwa mwaka wa 29W.K ndipo akawa Kristo na ndipo alipianzisha Imani ya kikristo maana hapo kabla waisraeli au wayahudi walikuwa na dini yao ya uyahudi,nakusisitizia achana na maswla ya kashfa kwenye dini za watu,halafu usiwe unazungumzia mambo usiyoyajua kiundani.Prove it
Ukweli hauwezi kunikwaza ila wewe unazungumzia mambo usiyoyajua,aliyeandika kitabu Cha Mathayo ni yemwenywe mtume Mathayo,ambae mwanzoni alikuwa mkusanya Kodi kwenye mji wa kapernaumu na Yesu akamwambia amfwate awe mfuasi wake,miaka yote mitatu na nusu ya huduma ya Yesu Kristo Mathayo alikuwa ni mtu wa karibu wa Yesu kama mitume wenzakeSorry kama ukweli unakukwaza.
Nikuulize swali dogo tu...Nani kaiandika injili ya Mathayo?
na mimi nikisema ukristo uliletwa na mjerumani kurahisisha biashara ya colonialism imekaaje?Tunayemuabudu tunamjua na ndio maana hayo majini ya kiislamu wanakimbia kuombewa kwa jina la Yesu
Wanapiga kelele eti wanaungua kwa moto
Kamuulize Maimuna, Subihani, Makata na majini yenu mengine watakuambia Mziki wa Yesu ukoje!
Na mimi nikisema uislam uliletwa na waarabu ili kurahisisha biashara ya Utumwa! Hiyo imekaaje...
Imekaa kichwa chini miguu juu....na mimi nikisema ukristo uliletwa na mjerumani kurahisisha biashara ya colonialism imekaaje?
Wewe hayo mafunzo ya Yesu umeyasomea wapi au umeyajulia wapi?Ukristo ni Imani inayofwata msingi wa mafunzo ya Mungu kupitia Yesu Kristo,Yesu alibatizwa mwaka wa 29W.K ndipo akawa Kristo na ndipo alipianzisha Imani ya kikristo maana hapo kabla waisraeli au wayahudi walikuwa na dini yao ya uyahudi,nakusisitizia achana na maswla ya kashfa kwenye dini za watu,halafu usiwe unazungumzia mambo usiyoyajua kiundani.
ila dini bana😂Imekaa kichwa chini miguu juu....
PoleMbona unanipachika nasaba isiyo yangu?
Koma.
Una uhakika na ulichoandika au umejitungia tu kichwani mwako. Kama una uhakika weka ushahidiUkweli hauwezi kunikwaza ila wewe unazungumzia mambo usiyoyajua,aliyeandika kitabu Cha Mathayo ni yemwenywe mtume Mathayo,ambae mwanzoni alikuwa mkusanya Kodi kwenye mji wa kapernaumu na Yesu akamwambia amfwate awe mfuasi wake,miaka yote mitatu na nusu ya huduma ya Yesu Kristo Mathayo alikuwa ni mtu wa karibu wa Yesu kama mitume wenzake
Wewe unaamini mimi naabudu hadithi?ila dini bana😂
usiwatukane waislamu nyie wawili wote mnaabudu hadithi