Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Kwaninavyokufahamu hujawahi kusumbuliwa na wapuuzi wachache humu ndani ninaimani stori itaendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nkuulize kitu rahisi tu, iyo Yesu umemjuaje?Tunayemuabudu tunamjua na ndio maana hayo majini ya kiislamu wanakimbia kuombewa kwa jina la Yesu
Wanapiga kelele eti wanaungua kwa moto
Kamuulize Maimuna, Subihani, Makata na majini yenu mengine watakuambia Mziki wa Yesu ukoje!
Na mimi nikisema uislam uliletwa na waarabu ili kurahisisha biashara ya Utumwa! Hiyo imekaaje...
Uislam ndio dini ya kwanza na ya mwisho duniani.Utaharibu uzi kwa maudhui ambayo sio yaliyokusudiwa kwenye uzi huu...
Kiumri Ukristo uliutangulia Uislamu (hili hata wewe unajua), ndani ya vitabu vyenye kubeba hizi imani mbili kuna asilimia kadhaa ya kushahabiana katika mafunzo yake...
Je, kama Uislamu ndio sahihi lakini si Ukristo, iweje kuwe na vinasaba vinavyolingana kwenye maandiko ya imani zote mbili, iweje imani ya kweli Uislamu(kwa mujibu wako) ikope mafundisho ya imani ya uongo Ukristo (kwa mujibu wako)?
Usijibu chochote kwenye hii post, tafakari kimya kimya
Hata hiyo ilmu ya ndoa unadhani anaitoa wapi kama sio kwenye uislam?Wewe jamaa anzisha uzi wako uongelee huu upuuzi wako wa dini za kuletewa hizo, acha tupate elimu ya ndoa toka kwa bibi yetu
Wewe ndio utaarib Uzi maan hii ni open forums lazima tu reply comment yako,Utaharibu uzi kwa maudhui ambayo sio yaliyokusudiwa kwenye uzi huu...
Kiumri Ukristo uliutangulia Uislamu (hili hata wewe unajua), ndani ya vitabu vyenye kubeba hizi imani mbili kuna asilimia kadhaa ya kushahabiana katika mafunzo yake...
Je, kama Uislamu ndio sahihi lakini si Ukristo, iweje kuwe na vinasaba vinavyolingana kwenye maandiko ya imani zote mbili, iweje imani ya kweli Uislamu(kwa mujibu wako) ikope mafundisho ya imani ya uongo Ukristo (kwa mujibu wako)?
Usijibu chochote kwenye hii post, tafakari kimya kimya
unadhani ni sababu zipi zinachochea wanawake walio olewa hivi sasa, kuwa warahisi mno ukiwatongoza wanakubali bila hiana na kutoka nje ya ndroa zao bila woga 🐒Kichwa cha habari kinajieleza.
Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano.
Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao utajumuisha nasaha zote za kijamii kadri itavowezekana, uwe kwa vijana, watoto au watu wazima.
Tafadhali tuwe wastahamilivu tusiziwache mada akaanza kushambuliwa mtu yeyote yule. Tunawaomba Moderator s watulinde kwenye hilo.
Nisiwachoshe, tuingie kwenye mada. Nakaribisha maswali. Yatapokosekana maswali ntachochea mada kwa kuwaletea visa vya mahusiano ambavyo kidogo visivyo vya kawaida "twisted".
... Kuna Ushahidi mwingi sana wa kijeolojia unaounga mkono nadharia ya 'EVOLUTION', kwamba binaadam, na viumbehai wote duniani, ni matokeo ya madiliko madogomadogo kutoka kemikali zenye tabia kanganyifu mpaka tulipo sasa.
... mimi kama binaadam mwenye dini nakubali mafundisho ya dini yangu lakini pia nakubaliana na nadharia ya 'EVOLUTION' ... kwamba maelezo yaliyo kwenye misahafu, kuhusu uumbaji, ni ufupisho tu wa kilichotokea HALISI Katika uumbaji ambao umepitia njia ndefu ya 'EVOLUTION'!
MAONI YAKO TAFADHALI!
Hili swali lako nimelihamishia uzi husika, nimelijibu huko:... Kuna Ushahidi mwingi sana wa kijeolojia unaounga mkono nadharia ya 'EVOLUTION', kwamba binaadam, na viumbehai wote duniani, ni matokeo ya madiliko madogomadogo kutoka kemikali zenye tabia kanganyifu mpaka tulipo sasa.
... mimi kama binaadam mwenye dini nakubali mafundisho ya dini yangu lakini pia nakubaliana na nadharia ya 'EVOLUTION' ... kwamba maelezo yaliyo kwenye misahafu, kuhusu uumbaji, ni ufupisho tu wa kilichotokea HALISI Katika uumbaji ambao umepitia njia ndefu ya 'EVOLUTION'!
MAONI YAKO TAFADHALI!
🤣🤣🤣Kamtongoze,kafunguwa uzi wa kutongozwa tu:
Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo. Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.www.jamiiforums.com
Bi FaizaFoxyKichwa cha habari kinajieleza.
Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano.
Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao utajumuisha nasaha zote za kijamii kadri itavowezekana, uwe kwa vijana, watoto au watu wazima.
Tafadhali tuwe wastahamilivu tusiziwache mada akaanza kushambuliwa mtu yeyote yule. Tunawaomba Moderator s watulinde kwenye hilo.
Nisiwachoshe, tuingie kwenye mada. Nakaribisha maswali. Yatapokosekana maswali ntachochea mada kwa kuwaletea visa vya mahusiano ambavyo kidogo visivyo vya kawaida "twisted".
Vijana hapa wanauliza wewe ni mzaramo, mluguru, mmakonde au mndengereko?Kichwa cha habari kinajieleza.
Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano.
Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao utajumuisha nasaha zote za kijamii kadri itavowezekana, uwe kwa vijana, watoto au watu wazima.
Tafadhali tuwe wastahamilivu tusiziwache mada akaanza kushambuliwa mtu yeyote yule. Tunawaomba Moderator s watulinde kwenye hilo.
Nisiwachoshe, tuingie kwenye mada. Nakaribisha maswali. Yatapokosekana maswali ntachochea mada kwa kuwaletea visa vya mahusiano ambavyo kidogo visivyo vya kawaida "twisted".
Umeongelea swala la compatibility/kuoana.. can you elaborate more Madam?Hapana, sivyo hivyo.
Lichukulie neno "kuowana" kwa maana yake ya Kiswahili. Huwezi kuoanisha raba na kandambili. Ili iwe jozi ya viatu ni lazima viowane. (compatibility).
Ndoa zimeenza na zimetiliwa mkazo sana na Uislam, ukitaka kuwa kwenye furha fata vigezo vya ndoa vya Kiislam, no jokes.
Wewe ndio utaarib Uzi maan hii ni open forums lazima tu reply comment yako,
Nabii issa hakuwa mkristo alikuwa mwislam kama sivyo leta ushahidi.