FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

Kichwa cha habari kinajieleza.

Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano.

Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao utajumuisha nasaha zote za kijamii kadri itavowezekana, uwe kwa vijana, watoto au watu wazima.

Tafadhali tuwe wastahamilivu tusiziwache mada akaanza kushambuliwa mtu yeyote yule. Tunawaomba Moderator s watulinde kwenye hilo.

Nisiwachoshe, tuingie kwenye mada. Nakaribisha maswali. Yatapokosekana maswali ntachochea mada kwa kuwaletea visa vya mahusiano ambavyo kidogo visivyo vya kawaida "twisted".
Nampenda FaizaFoxy ndugu, nifanyeje?
 
Nampenda FaizaFoxy ndugu, nifanyeje?
Kamtongoze, kafunguwa uzi wa kutongozwa tu:

Utakuwa unaongelea ukristo, maana ndo
Bottom line, Wakristo wanaabudu wásichokijua Kwasababu wamefichwa ukweli wa Kila kitu kuhusu imani Yao.
Tunayemuabudu tunamjua na ndio maana hayo majini ya kiislamu wanakimbia kuombewa kwa jina la Yesu
Wanapiga kelele eti wanaungua kwa moto

Kamuulize Maimuna, Subihani, Makata na majini yenu mengine watakuambia Mziki wa Yesu ukoje!

Na mimi nikisema uislam uliletwa na waarabu ili kurahisisha biashara ya Utumwa! Hiyo imekaaje...
 
Kamtongoze,kafunguwa uzi wa kutongozwa tu:

3048962_IMG_20211217_181857.jpg
 
Kichwa cha habari kinajieleza.

Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano.

Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao utajumuisha nasaha zote za kijamii kadri itavowezekana, uwe kwa vijana, watoto au watu wazima.

Tafadhali tuwe wastahamilivu tusiziwache mada akaanza kushambuliwa mtu yeyote yule. Tunawaomba Moderator s watulinde kwenye hilo.

Nisiwachoshe, tuingie kwenye mada. Nakaribisha maswali. Yatapokosekana maswali ntachochea mada kwa kuwaletea visa vya mahusiano ambavyo kidogo visivyo vya kawaida "twisted".
👍👏💭🆒
 
Kwanza kabisa hakikisha unapoowa uwe katika hali ya uchumi wako wa kawaida kabisa, usingoje mpaka ukusanye pesa au ujioneshe kuwa una pesa. Mwanamke inatakiwa muowane ukiwa katika hali duni siyo katika hali nono ya "kula bata".

Pili, muowe kwa vigezo vyake hivi; Kwa uzuri wake, kwa mali zake, kwa nasaba yake na kwa dini yake.

Tatu, hakikisha mnaowana, siyo umemuowa.

Jiepushe kabisa kuzaa nje ya ndoa, uasherati na uzinzi ni uchafu.
Nne
img_1_1705462107093.jpg
 
Wananchi wote turudi kwenye dini ya asili...Uislam

Utaharibu uzi kwa maudhui ambayo sio yaliyokusudiwa kwenye uzi huu...

Kiumri Ukristo uliutangulia Uislamu (hili hata wewe unajua), ndani ya vitabu vyenye kubeba hizi imani mbili kuna asilimia kadhaa ya kushahabiana katika mafunzo yake...

Je, kama Uislamu ndio sahihi lakini si Ukristo, iweje kuwe na vinasaba vinavyolingana kwenye maandiko ya imani zote mbili, iweje imani ya kweli Uislamu(kwa mujibu wako) ikope mafundisho ya imani ya uongo Ukristo (kwa mujibu wako)?

Usijibu chochote kwenye hii post, tafakari kimya kimya
 
Utaaribu uzi kwa maudhui ambayo sio yaliyokusudiwa kwenye uzi huu...

Kiumri Ukristo uliutangulia Uislamu (hili hata wewe unajua), ndani ya vitabu vyenye kubeba hizi imani mbili kuna asilimia kadhaa ya kushahabiana kwa mafunzo yake...

Je, kama Uislamu ndio sahihi lakini si Ukristo, iweje kuwe na vinasaba vinavyolingana kwenye maandiko ya imaninzote mbili, iweje imani ya kweli Uislamu(kwa mujibu wako) ikope mafundisho ya imani ya uongo Ukristo (kwa mujibu wako)?

Usijibu chochote kwenye hii post, tafakari kimya kimya
Umenipa point Aisee! Siku mvaa kobazi akijichanganya siongei sana nampa huu mstari.

Na mdahalo utakua umeishia hapa.
 
Nilihisi mtoto wangu wa kwanza si wangu, ila nilivumilia tu nikiwa na lengo la kumsomesha mpaka amalize chuo kikuu ndo niangalie DNA

Kamaliza Chuo kikuu Mwaka jana, bado moyo unaita nikaangalie DNA, je kwa sasa ni sahihi maana mtoto keshamaliza utegemezi?
Umeshalea unataka ugundue nn tena,,?
Achana na hayo mambo
 
... Kuna Ushahidi mwingi sana wa kijeolojia unaounga mkono nadharia ya 'EVOLUTION', kwamba binaadam, na viumbehai wote duniani, ni matokeo ya madiliko madogomadogo kutoka kemikali zenye tabia kanganyifu mpaka tulipo sasa.
... mimi kama binaadam mwenye dini nakubali mafundisho ya dini yangu lakini pia nakubaliana na nadharia ya 'EVOLUTION' ... kwamba maelezo yaliyo kwenye misahafu, kuhusu uumbaji, ni ufupisho tu wa kilichotokea HALISI Katika uumbaji ambao umepitia njia ndefu ya 'EVOLUTION'!
MAONI YAKO TAFADHALI!
 
Tunayemuabudu tunamjua na ndio maana hayo majini ya kiislamu wanakimbia kuombewa kwa jina la Yesu
Wanapiga kelele eti wanaungua kwa moto

Kamuulize Maimuna, Subihani, Makata na majini yenu mengine watakuambia Mziki wa Yesu ukoje!

Na mimi nikisema uislam uliletwa na waarabu ili kurahisisha biashara ya Utumwa! Hiyo imekaaje...
THEATRE ARTS! - ASK BBC!
 
Kamtongoze,kafunguwa uzi wa kutongozwa tu:

Akikutongoza huko kwa uzi wa kukutongoza nitag ili nicheke kidogo madam 😁
 
Kichwa cha habari kinajieleza.

Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano.

Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao utajumuisha nasaha zote za kijamii kadri itavowezekana, uwe kwa vijana, watoto au watu wazima.

Tafadhali tuwe wastahamilivu tusiziwache mada akaanza kushambuliwa mtu yeyote yule. Tunawaomba Moderator s watulinde kwenye hilo.

Nisiwachoshe, tuingie kwenye mada. Nakaribisha maswali. Yatapokosekana maswali ntachochea mada kwa kuwaletea visa vya mahusiano ambavyo kidogo visivyo vya kawaida "twisted".
Mada yenyewe iko wapi sasa unapoerma tuingie
 
Nafsi huona yasiyo onekana kwa macho. Nenda kapime... Nenda hospital andaa mazingira, ongea na dokta weka kla ktu fresh.... Mchukue kijana usimwambie mnaenda kupma DNA... Fka hospital kwny hatua za upmaj mkiwa na dokta mwambie tumekuja kupma DNA....

Kijana ni mkubwa, ana 23, kama mwanaume nitamweleza tu, maana nimemsomesha, nimemtunza, au unaona si sawa kumwambia?
 
Back
Top Bottom