FAIZAFOXY ni TUNU ya JF ni mama bora mwenye malezi bora tumkumbatie

FAIZAFOXY ni TUNU ya JF ni mama bora mwenye malezi bora tumkumbatie

Wewe boya ndo unamfuatilia huyo mly mzee.wach shobolization mtt wa kiume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ustaarabu kitu cha bure, sina hilo wazo nawala sifikirii, nina familia. Hoja ya msingi jali maisha yako, acha kufuatilia maisha ya mtu, acha mtu aishi atakavyo yeye, kutukana hakukusaidii, wala hunipunguzii chochote, zaidi naona unatumia mihemko na nguvu nyingi kwa ishu za kijinga.
#PAMBANA NA HALI YAKO, JIFUNZE KUISHI NA WATU VIZURI HATA KAMA HUMJUI.

SangaweJr
 
"
I see muislamu bora ambae angetakiwa awe mfano bora kwa sisi tusioamini dini wala Mungu ndio kwanza anatufundisha kutukana...

What a righteous Muslim woman!

Nimuamini Mufti yeye nani? Ni mwanadamu shenzi kama nilivyo mie na wewe!

Ni muongo kama mimi na wewe!

Nataka well researched proofs kwamba kweli mnaonewa kwa misingi ya solely kidini!

Na hii tabia yako ya kuwawekea watu msururu wa mi-threads eti wakarudie kusoma kupata majibu ya maswali yao ni technically not possible...

Siwezi pitia comments 1000 za watu mbalimbali kutafuta comment yenye jibu ninalotafuta!

Ombeni JF wawape citing facility ambayo unamuelekeza exact which comment number aende,sio uzi mzima you dummies!
"Shenzi" ni wewe si sisi, sisi tumestaarabika na unanielewa hilo.

Wewe huna dini, ya Waislam yanakuhusu nini? Kama si umbeya ni nini zaidi?

Ukisikia mwanamme anakuwa mbeya ujuwe si rizki huyo.
 
Hujajibu swali, umeliona swali lakini au ndiyo wale mliosomea ujinga shule? Rudia...

Kwa maandiko yako upo kundi lipi kati ya haya?...

Biblia 1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Siwezi kujibu swali la kipumbavu ambalo halina validity kwangu.. The stupid question is valid in your mind.. Akili hizi fupi bhana..
 
"Sisi tumestaaribika" ukimaanisha wewe na nani? Unatumia kipimo kipi kujua huo ustaarabu? Au wewe ni msemaji wa kundi lililostaarabika.
"

"Shenzi" ni wewe si sisi, sisi tumestaarabika na unanielewa hilo.

Wewe huna dini, ya Waislam yanakuhusu nini? Kama si umbeya ni nini zaidi?

Ukisikia mwanamme anakuwa mbeya ujuwe si rizki huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Sisi tumestaaribika" ukimaanisha wewe na nani? Unatumia kipimo kipi kujua huo ustaarabu? Au wewe ni msemaji wa kundi lililostaarabika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mathayo 7: 16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?

Tazama tu nyuzi zinazomtaja FaizaFoxy au anazoanzisha zinavyopata wafatiliaji. Hakuna mfano wake. Wengi wanachukia kumpenda.
 
"Shenzi" ni wewe si sisi, sisi tumestaarabika na unanielewa hilo.

Jizungumzie binafsi yako,unazungumzia "sisi" wewe na nani?Muache Mufti ajizungumzie mwenyewe!

Umestaarabika according to who?According to FF?Puliiiz

Wewe huna dini, ya Waislam yanakuhusu nini?
Sina dini,wala simtambui Mungu wala shetani....

Kwanini nawazungumzia?

Kwasababu mnachokifanya kinagusa ofisi inayotumia kodi yangu..No one cares mnachokifanya ndani ya misikiti au makanisa yenu!

Mnapogeuza agenda zenu za kidini kwenda kwenye taasisi zinazotumia kodi zetu lazima tax payers ituhusu!

Unachosema wewe ya waislamu hayanihusu,hayanihusu tu mpaka pale mnapoyachanganya na kodi zangu lazima yanihusu 100%!

Kwahiyo kunyoosha sana mdomo kusema hayanihusu inaonesha una upeo wa kutilia shaka!

Ukisikia mwanamme anakuwa mbeya ujuwe si rizki huyo.

Umbea umetokea wapi?

Tatizo FF unajifanya unajua kuongea kunya sana,as if unadhani watu hawawezi kunya kama wewe!

Ni hatari sana mtu mzima tena mwanamke wa miaka 60 mwenye mvi za uchini anaeona kua na mdomo mchafu ni sahihi!

Asili ya mtu haipotei,haijalishi umesoma kiasi gani na una umri gani na ulishawahi ishi Canada kwa wabaguzi Wazungu au nini,Mzaramo,kama kawaida,mdomo unatoa mavi 24/7!

Rudi Canada uendelee kubaguliwa vizuri zaidi utambue kabisa in this world you don't matter at all!
 
Huwa namuelewa sana katika comments zake. Maana busara za mtu usiyemjua utaziona kwa kile anacho kiandika jamvini.

Ni mtu mmoja makini sana, heshima kwa sana, mstaarabu sana,muongeaji mzuri sana na yawezekana anaheshimika sana mtaani na kazini kwake.

Tatizo lake au kipaumbele chake ni dini ya Kiislam. Kuna wakati huwa najenga picha, huyu kama anaweza kuwa mtoa huduma au msaada wa kumuokoa mtu; basi, kuna vitu atazingatia hasa dini.

Ni mfia dini aliyejificha chini ya kivuli cha kazi tofauti isiyo ya dini.

Huu ni mtazamo wangu tu.

We love you Faiza Foxy. Tumekuelezea tu kwakuwa umekuwa kichwa cha habari na uzi unakuhusu wewe.
Amani iwe juu yenu wakuu

Nuru ya MUNGU iwaangaze

Naseseleka nayo

Jf kuna kila aina ya watu wapo wapole na wakorofi sana

Sitaki kuwazungumzia wengine Leo namuongelea mama yetu mpendwa FaizaFoxy ni mama wa makamo wala si bibi kama wengi wanavyojua, ni mama anayejishemu sana msomi wa ngazi za juu, mama huyu mwenye mihemuko na dini kupita Maelezo ni mama mdadisi sana ambaye kamezwa na uiccm

Mama huyu ni mama bora kuanzia alivyolelewa nyumban kwao na sasa anavyoishi kwake, mama huyu wanae wote pamoja na yeye ni watu wa MUNGU sana yaan waislam safi sana ambao kwa hakika wataiona pepo ya Allah subuhana wataara

Wito wangu kwa wana jf tumutumie vizur huyu bibi yetu maana ni moja ya tunu za jf

Ni mama mbalikiwa sana na mwingi wa hekima asiyekuwa na kinyongo na mtu

Abalikiwe sana bibi yetu huyu

Inshanlaa

N:B punguza tu udini bibi yangu

Nawasilisha

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUOTE="kilambalambila, post: 30240683, member: 18290hida yake mdini huyu ajuza wa jua kuzama matopeni

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
Daaah! Kweli mkuu ujinga ni mzigo,naona unavyokutesa pole sana
 
Back
Top Bottom