SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,986
- 2,664
Ustaarabu kitu cha bure, sina hilo wazo nawala sifikirii, nina familia. Hoja ya msingi jali maisha yako, acha kufuatilia maisha ya mtu, acha mtu aishi atakavyo yeye, kutukana hakukusaidii, wala hunipunguzii chochote, zaidi naona unatumia mihemko na nguvu nyingi kwa ishu za kijinga.Wewe boya ndo unamfuatilia huyo mly mzee.wach shobolization mtt wa kiume.
Sent using Jamii Forums mobile app
#PAMBANA NA HALI YAKO, JIFUNZE KUISHI NA WATU VIZURI HATA KAMA HUMJUI.
SangaweJr