FAIZAFOXY ni TUNU ya JF ni mama bora mwenye malezi bora tumkumbatie

FAIZAFOXY ni TUNU ya JF ni mama bora mwenye malezi bora tumkumbatie

Faizafoxy...

Ni generally super smart woman....I can say her smarts are of grade A!

Ila hana tofauti na wanadamu wengine humu...

Ana-pretend kua logical ila si kweli,anaendeshwa na biases za dini yake,siasa ya chama chake,her ancestry of which nadhani ana some few percentages of Arabic ancestry...

Hapo anadhani Arabism ni superior heritage in this planet than anything japo I'm sure atakua na DNA yenye more than 90% African heritage!

Faiza sio Muislamu bora kama anavyoji-potray humu...Sio mtu wa haki na mema kiivyo...

Ni muislamu vurugu anaetumia identity ya uislamu kujipatia meaning kwenye hii dunia against other human beings!

Faizafoxy ana matusi ya nguoni kama sisi wengine wote!

Faizafoxy ni very arrogant and her arrogance is sometimes beyond stupidity....

Faizafoxy hua hajibu comments za watu wenye hoja kubwa zaidi yake....

Hua anachagua hoja kutoka comments dhaifu anazijibu kwa maneno makali kujengea picha kua yeye ni superior kumbe si kweli!

Hua Faizafoxy ha-acknowledge members wanaomzidi akili au hoja,yeye hua anawachapa wajinga tu,hathubutu kugusa walio na akili!

Ni nadra sana kwa Faizafoxy kutoa "like" kwenye comment ya mtu,ni dalili mbovu sana ya ubinafsi!

Faizafoxy ukimshinda hoja,akawa hana jibu na anajihisi ni lazima ajibu,basi hutafuta any grammatical error au any typo,au chochote cha kimaandishi kukosoa tu muundo wa sentensi zako....

Anafanya hizo anaacha hoja muhimu mpaka kiasi kwamba sometimes inakua ni stupidity!

Pia ana Kiswahili kizuri,Kiingereza kizuri na anajua kuandika kwa muundo sahihi wa paragraphs,grammar nzuri na mpangilio mzuri wa mawazo yake...Kuhusu matumizi ya lugha hua hakosei!

Faizafoxy ana background ya Engineering kama sikosei,kuna kipindi hua anarusha some Engineering concepts kwenye mabishano kwa confidence ya ajabu na unaweza kudhani yupo sahihi,ila in real sense hayupo sahihi kiivyo kwa mwenye kujua!

Generally mimi namkubali kama member wengine ila ni very special character fulani hivi....

Sasa naona kama kapunguza sana fujo zake tofauti na kipindi kile Kikwete yupo madarakani

Halafu naona kama anapenda fujo sana unnecessarily!
-Anakauli zinazojirudia kama " shule ulienda kusomea ujinga".
-Anamajivuno anafikiri yy n bora zaid kumbe si kweli.
-Anaendeshwa na dini yani yy kwake muislam ni bora zaidi.
-Mbinafsi
- Ni mmama ambaye kwa umri wake alitakiwa aachane na mambo yakutukanana na watoto wake kwani kufanya hvyo anajikosea heshima yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amani iwe juu yenu wakuu

Nuru ya MUNGU iwaangaze

Naseseleka nayo

Jf kuna kila aina ya watu wapo wapole na wakorofi sana

Sitaki kuwazungumzia wengine Leo namuongelea mama yetu mpendwa FaizaFoxy ni mama wa makamo wala si bibi kama wengi wanavyojua, ni mama anayejishemu sana msomi wa ngazi za juu, mama huyu mwenye mihemuko na dini kupita Maelezo ni mama mdadisi sana ambaye kamezwa na uiccm

Mama huyu ni mama bora kuanzia alivyolelewa nyumban kwao na sasa anavyoishi kwake, mama huyu wanae wote pamoja na yeye ni watu wa MUNGU sana yaan waislam safi sana ambao kwa hakika wataiona pepo ya Allah subuhana wataara

Wito wangu kwa wana jf tumutumie vizur huyu bibi yetu maana ni moja ya tunu za jf

Ni mama mbalikiwa sana na mwingi wa hekima asiyekuwa na kinyongo na mtu

Abalikiwe sana bibi yetu huyu

Inshanlaa

N:B punguza tu udini bibi yangu

Nawasilisha

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwenyewe unaudini wa kufa mtu! Rejea nyuzi zako na comment zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmemaliza?

Haya niambieni, hapa Rais wa Philippines, Rodrigo Duterte anachosema ni kweli au anawapakazia?...

Duterte says his country's bishops are 'sons of bitches' and 'most of them are gay'.
President Rodrigo Duterte has denounced bishops in the Catholic-majority country as "sons of bitches", renewing his attacks on the church that has criticised him over his bloody war on drugs. Duterte, who launched his campaign against drugs when he took office in mid-2016, remains hugely...

Kwa wasioelewa Kingereza, Rais Duterte hapo amesema Maaskofu wengi wa nchini kwake na wa duniani ni mashoga halafu anawatukana matusi ya nguoni "watoto wa mbwa".

Halafu hapa anasema...
Rais wa Ufilipino Durterte amelitaka Kanisa Katoliki kuruhusu Mapadri wake waolewe au wawe na Wanaume maana wengi ni mashoga
Huyu Duterte huyu!kweli kichaa kapewa rungu.

Hayo si ya FaizaFoxy wala hakuyaleta yeye JF lakini atashambuliwa yeye! Kwi Kwi Kwi teh teh teh.

Nawauliza, mmewauliza Maaskofu wenu kuhusu hayo?
 
Umewahi kukutana nae? Au unahadaika Na maandiko yake hapa JF

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Amani iwe juu yenu wakuu

Nuru ya MUNGU iwaangaze

Naseseleka nayo

Jf kuna kila aina ya watu wapo wapole na wakorofi sana

Sitaki kuwazungumzia wengine Leo namuongelea mama yetu mpendwa FaizaFoxy ni mama wa makamo wala si bibi kama wengi wanavyojua, ni mama anayejishemu sana msomi wa ngazi za juu, mama huyu mwenye mihemuko na dini kupita Maelezo ni mama mdadisi sana ambaye kamezwa na uiccm

Mama huyu ni mama bora kuanzia alivyolelewa nyumban kwao na sasa anavyoishi kwake, mama huyu wanae wote pamoja na yeye ni watu wa MUNGU sana yaan waislam safi sana ambao kwa hakika wataiona pepo ya Allah subuhana wataara

Wito wangu kwa wana jf tumutumie vizur huyu bibi yetu maana ni moja ya tunu za jf

Ni mama mbalikiwa sana na mwingi wa hekima asiyekuwa na kinyongo na mtu

Abalikiwe sana bibi yetu huyu

Inshanlaa

N:B punguza tu udini bibi yangu

Nawasilisha

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
mbalikiwa = mbarikiwa
abalikiwe = abarikiwe
subuhana wataara = Subhanna wataala

"udini" ndiyo nini?
 
Dogo umeanza mahusiano ya Kimapenzi na Bibi zako? Achana na huyo bibi Taahira!
Kwa maandiko yako upo kundi lipi kati ya haya?...

Biblia 1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Kwa maandiko yako upo kundi lipi kati ya haya?...

Biblia 1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
mbalikiwa = mbarikiwa
abalikiwe = abarikiwe
subuhana wataara = Subhanna wataala

"udini" ndiyo nini?
nakupenda sana we faiza foxy mama wa maarifa siku moja unitunuku tunda na aliyekuoa ni wazi anafaidi sana .

Usomage hizo message Pm mchumba
 
Back
Top Bottom