Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla hajaja wewe ni mwisilam? Usije ukawa kafir afu unataka mtoto wa faiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi namkubali hasa kwenye shule ulienda kusomea ujingaMimi nampendaga tu mama faiza
Unaweza kujifunga mambomu na kwenda kujilipua mbele ya halaiki ya watu maana kuna bikira zimeandaliwa ndo malipo yako huko akhera
Anapangua hoja ni hatari ni mwanake asiyekubal kushindwaKwakweli kwanza ni kichwa alafu mcheshi.
Huwa ananifurahisha sana kwa weledi wake wa kupangua hoja.
Kudos to her.
Aisee hilo tu ndo umelionasiti ya mbele, nianze mimi kumkumbatia tafadhali, wengine mpange foreni!
Unaweza kujifunga mambomu na kwenda kujilipua mbele ya halaiki ya watu maana kuna bikira zimeandaliwa ndo malipo yako huko akhera
Kama ukiweza hivyo bas utampata
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu azidi tu kumuweka mama faiza na kumbariki kila anachofanya nakupenda
[emoji6][emoji6][emoji6]
Mzee baba nigawie bas hiyo chura aisee inapatikana wapi hiyo[emoji6][emoji6][emoji6] View attachment 1009774
Dah umemchambua murua sanaFaizafoxy...
Ni generally super smart woman....I can say her smarts are of grade A!
Ila hana tofauti na wanadamu wengine humu...
Ana-pretend kua logical ila si kweli,anaendeshwa na biases za dini yake,siasa ya chama chake,her ancestry of which nadhani ana some few percentages of Arabic ancestry...
Hapo anadhani Arabism ni superior heritage in this planet than anything japo I'm sure atakua na DNA yenye more than 90% African heritage!
Faiza sio Muislamu bora kama anavyoji-potray humu...Sio mtu wa haki na mema kiivyo...
Ni muislamu vurugu anaetumia identity ya uislamu kujipatia meaning kwenye hii dunia against other human beings!
Faizafoxy ana matusi ya nguoni kama sisi wengine wote!
Faizafoxy ni very arrogant and her arrogance is sometimes beyond stupidity....
Faizafoxy hua hajibu comments za watu wenye hoja kubwa zaidi yake....
Hua anachagua hoja kutoka comments dhaifu anazijibu kwa maneno makali kujengea picha kua yeye ni superior kumbe si kweli!
Hua Faizafoxy ha-acknowledge members wanaomzidi akili au hoja,yeye hua anawachapa wajinga tu,hathubutu kugusa walio na akili!
Ni nadra sana kwa Faizafoxy kutoa "like" kwenye comment ya mtu,ni dalili mbovu sana ya ubinafsi!
Faizafoxy ukimshinda hoja,akawa hana jibu na anajihisi ni lazima ajibu,basi hutafuta any grammatical error au any typo,au chochote cha kimaandishi kukosoa tu muundo wa sentensi zako....
Anafanya hizo anaacha hoja muhimu mpaka kiasi kwamba sometimes inakua ni stupidity!
Pia ana Kiswahili kizuri,Kiingereza kizuri na anajua kuandika kwa muundo sahihi wa paragraphs,grammar nzuri na mpangilio mzuri wa mawazo yake...Kuhusu matumizi ya lugha hua hakosei!
Faizafoxy ana background ya Engineering kama sikosei,kuna kipindi hua anarusha some Engineering concepts kwenye mabishano kwa confidence ya ajabu na unaweza kudhani yupo sahihi,ila in real sense hayupo sahihi kiivyo kwa mwenye kujua!
Generally mimi namkubali kama member wengine ila ni very special character fulani hivi....
Sasa naona kama kapunguza sana fujo zake tofauti na kipindi kile Kikwete yupo madarakani
Halafu naona kama anapenda fujo sana unnecessarily!
AminaMungu azidi tu kumuweka mama faiza na kumbariki kila anachofanya nakupenda
Unamuelewaje kwenye hoja zake za ugaidMama yangu Faiza hana hayo mambo... Huwa namuelewa vizuri tu kwenye hoja zake za ugaidi .. si kama wengi wawazavyo ama wamuelewavyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu heshima kwa uchambuzi mzuri. Kuna siku nitakuomba analysis yako juu ya members fulani na mimi nikiwemo.Faizafoxy...