FAIZAFOXY ni TUNU ya JF ni mama bora mwenye malezi bora tumkumbatie

FAIZAFOXY ni TUNU ya JF ni mama bora mwenye malezi bora tumkumbatie

Amani iwe juu yenu wakuu

Nuru ya MUNGU iwaangaze

Naseseleka nayo

Jf kuna kila aina ya watu wapo wapole na wakorofi sana

Sitaki kuwazungumzia wengine Leo namuongelea mama yetu mpendwa FaizaFoxy ni mama wa makamo wala si bibi kama wengi wanavyojua, ni mama anayejishemu sana msomi wa ngazi za juu, mama huyu mwenye mihemuko na dini kupita Maelezo ni mama mdadisi sana ambaye kamezwa na uiccm

Mama huyu ni mama bora kuanzia alivyolelewa nyumban kwao na sasa anavyoishi kwake, mama huyu wanae wote pamoja na yeye ni watu wa MUNGU sana yaan waislam safi sana ambao kwa hakika wataiona pepo ya Allah subuhana wataara

Wito wangu kwa wana jf tumutumie vizur huyu bibi yetu maana ni moja ya tunu za jf

Ni mama mbalikiwa sana na mwingi wa hekima asiyekuwa na kinyongo na mtu

Abalikiwe sana bibi yetu huyu

Inshanlaa

N:B punguza tu udini bibi yangu

Nawasilisha

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Rekebisha huyu siyo mama ni BIBI na wala si shangai maana shetani akizeeka ugeuka kuwa malaika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo bibi kizee ni Udini ndio umemjaa, Kila inshu yeye anaitazama kwa maudhui ya udini, Utafikiri Mwafrika kazaliwa na Ukiristo au uislamu
 
Back
Top Bottom