FAIZAFOXY ni TUNU ya JF ni mama bora mwenye malezi bora tumkumbatie

Wewe boya ndo unamfuatilia huyo mly mzee.wach shobolization mtt wa kiume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ustaarabu kitu cha bure, sina hilo wazo nawala sifikirii, nina familia. Hoja ya msingi jali maisha yako, acha kufuatilia maisha ya mtu, acha mtu aishi atakavyo yeye, kutukana hakukusaidii, wala hunipunguzii chochote, zaidi naona unatumia mihemko na nguvu nyingi kwa ishu za kijinga.
#PAMBANA NA HALI YAKO, JIFUNZE KUISHI NA WATU VIZURI HATA KAMA HUMJUI.

SangaweJr
 
"
"Shenzi" ni wewe si sisi, sisi tumestaarabika na unanielewa hilo.

Wewe huna dini, ya Waislam yanakuhusu nini? Kama si umbeya ni nini zaidi?

Ukisikia mwanamme anakuwa mbeya ujuwe si rizki huyo.
 
Siwezi kujibu swali la kipumbavu ambalo halina validity kwangu.. The stupid question is valid in your mind.. Akili hizi fupi bhana..
 
"Sisi tumestaaribika" ukimaanisha wewe na nani? Unatumia kipimo kipi kujua huo ustaarabu? Au wewe ni msemaji wa kundi lililostaarabika.
"

"Shenzi" ni wewe si sisi, sisi tumestaarabika na unanielewa hilo.

Wewe huna dini, ya Waislam yanakuhusu nini? Kama si umbeya ni nini zaidi?

Ukisikia mwanamme anakuwa mbeya ujuwe si rizki huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijamfuatilia Sana
Lakini kwa haraka kutokana na thread yake niliyokutana nae nimeona yuko smart& very logical katika points zake



Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Sisi tumestaaribika" ukimaanisha wewe na nani? Unatumia kipimo kipi kujua huo ustaarabu? Au wewe ni msemaji wa kundi lililostaarabika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mathayo 7: 16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?

Tazama tu nyuzi zinazomtaja FaizaFoxy au anazoanzisha zinavyopata wafatiliaji. Hakuna mfano wake. Wengi wanachukia kumpenda.
 
"Shenzi" ni wewe si sisi, sisi tumestaarabika na unanielewa hilo.

Jizungumzie binafsi yako,unazungumzia "sisi" wewe na nani?Muache Mufti ajizungumzie mwenyewe!

Umestaarabika according to who?According to FF?Puliiiz

Wewe huna dini, ya Waislam yanakuhusu nini?
Sina dini,wala simtambui Mungu wala shetani....

Kwanini nawazungumzia?

Kwasababu mnachokifanya kinagusa ofisi inayotumia kodi yangu..No one cares mnachokifanya ndani ya misikiti au makanisa yenu!

Mnapogeuza agenda zenu za kidini kwenda kwenye taasisi zinazotumia kodi zetu lazima tax payers ituhusu!

Unachosema wewe ya waislamu hayanihusu,hayanihusu tu mpaka pale mnapoyachanganya na kodi zangu lazima yanihusu 100%!

Kwahiyo kunyoosha sana mdomo kusema hayanihusu inaonesha una upeo wa kutilia shaka!

Ukisikia mwanamme anakuwa mbeya ujuwe si rizki huyo.

Umbea umetokea wapi?

Tatizo FF unajifanya unajua kuongea kunya sana,as if unadhani watu hawawezi kunya kama wewe!

Ni hatari sana mtu mzima tena mwanamke wa miaka 60 mwenye mvi za uchini anaeona kua na mdomo mchafu ni sahihi!

Asili ya mtu haipotei,haijalishi umesoma kiasi gani na una umri gani na ulishawahi ishi Canada kwa wabaguzi Wazungu au nini,Mzaramo,kama kawaida,mdomo unatoa mavi 24/7!

Rudi Canada uendelee kubaguliwa vizuri zaidi utambue kabisa in this world you don't matter at all!
 
Huwa namuelewa sana katika comments zake. Maana busara za mtu usiyemjua utaziona kwa kile anacho kiandika jamvini.

Ni mtu mmoja makini sana, heshima kwa sana, mstaarabu sana,muongeaji mzuri sana na yawezekana anaheshimika sana mtaani na kazini kwake.

Tatizo lake au kipaumbele chake ni dini ya Kiislam. Kuna wakati huwa najenga picha, huyu kama anaweza kuwa mtoa huduma au msaada wa kumuokoa mtu; basi, kuna vitu atazingatia hasa dini.

Ni mfia dini aliyejificha chini ya kivuli cha kazi tofauti isiyo ya dini.

Huu ni mtazamo wangu tu.

We love you Faiza Foxy. Tumekuelezea tu kwakuwa umekuwa kichwa cha habari na uzi unakuhusu wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUOTE="kilambalambila, post: 30240683, member: 18290hida yake mdini huyu ajuza wa jua kuzama matopeni

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
Daaah! Kweli mkuu ujinga ni mzigo,naona unavyokutesa pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…