Ni mbea sio mbeyaNini ambayo "ni kweli?".
Mimi nililipenda sana wazo la kuanzishwa saccos ya namna hiyo na maslahi yangu binafsi wewe yanakuhusu nini?
Mbona mbeya hivyo?
"Mhusika" wa nini?
Sikuwekeza saccos yoyote ile, nimewekeza kwa mtu binafsi anaitwa Mzee Abdul ambae bado nawekeza nae kwenye miradi kadhaa kama ninavyowekeza kwa wengine.
Aliteleza kidogo wkt anakuna bawasiri mkuu.
mbeya- mmbeaNini ambayo "ni kweli?".
Mimi nililipenda sana wazo la kuanzishwa saccos ya namna hiyo na maslahi yangu binafsi wewe yanakuhusu nini?
Mbona mbeya hivyo?
Menopause ni changamoto mkuu.FaizaFoxy huwa haeleweki anahitaji nini
Hahah uko vzr sana mzee baba.Kwa niaba ya kamati ya ROHO MBAYAView attachment 1466382View attachment 1466390huyualijiungakwalengomaalumView attachment 1466392View attachment 1466393View attachment 1466394muhamasishajimkuuanaetambulikakwamsimamonamtumaarufuJFkwawakatiule
Sa hivi anajifanya hadi aulize wahusikaKwa niaba ya kamati ya ROHO MBAYAView attachment 1466382View attachment 1466390huyualijiungakwalengomaalumView attachment 1466392View attachment 1466393View attachment 1466394muhamasishajimkuuanaetambulikakwamsimamonamtumaarufuJFkwawakatiule
Yuko Kimbiji analima mihogo subiri jioni
Jr[emoji769][/QUOTE
Yuko Darasa Kwa Sasa akitoa Daawa
Menostop mkuu!Menopause ni changamoto mkuu.
Huyu bibie alikuwa kamati ya uhamasishaji ngoja tusubiri alete mrejesho wa greda la mchanga kama nalo kulirudisha pesaHahaa
Sa hivi anajifanya hadi aulize wahusika
Ngoja tusubiri bibie FaizaFoxyHahah uko vzr sana mzee baba.
Ngoja tusubiri majibu ya huyo PROMOTER wa hisa za 'DSE' ili tuone kama mradi wake wa bodaboda umesharudisha pesa yake.
Ni tapeli kama.matapeli wengine tuNgoja tusubiri bibie FaizaFoxy
Tuko macho mzeiya.Atakuja kujibu saa tisa usiku bibi ana tactics
Weka huo uzi.Uliwahi kuandika humu JF kwamba bawasiri inakusumbua sana lkn uliambiwa ule udongo hua unasaidia sana ukiupaka kwny eneo husika.
Vipi kwa sasa bawasiri iliisha?
Alikutapeli nini?Ni tapeli kama.matapeli wengine tu
Teh teh teh Watu.wanaishi kimjini mjini mpaka uzeeniKwa niaba ya kamati ya ROHO MBAYAView attachment 1466382View attachment 1466390huyualijiungakwalengomaalumView attachment 1466392View attachment 1466393View attachment 1466394muhamasishajimkuuanaetambulikakwamsimamonamtumaarufuJFkwawakatiule
Sijawahi kusikia kitu kinaitwa "greda la mchanga". Fanya tafiti yako vizuri uje japo na chenye usahihi kiduchu..Huyu bibie alikuwa kamati ya uhamasishaji ngoja tusubiri alete mrejesho wa greda la mchanga kama nalo kulirudisha pesa