Falsafa ya mzee wangu kusomea Udaktari, Engineering au Sheria imetuokoa sana Watoto wake hence prooven, Nami sina budi kuiendeleza kwa watoto

Hata hakuna haja ya kuhangaiko huko kote theo;ogy

Kwanza kabisa inabidi ujinadi ni nabii uanzishe kanisa la kilokole.

Pili uwe na connection ya elimu ya siri ya kukodisha watu wa kujiangusha na kutoa shuhuda za uongo, ukikurupuka ndio utasikia kama hawa wanaokamatwa wamelipa mtu elf 50 ajidai kadondoka kwenye paa, huku elimu ya siri inahitajika zaidi kuzidi hio theology.

Pesa zipo nyingi sana ni kucheza na imani za watu tu hasa wanawake, maji waweza nunua elf 1 ukauza elf 10 unabandika kikaratasi ni ya baraka, mafuta ya mzaituni waweza uza hadi laki 3, kuombea mtu wewe kemea tu laki 5 unapiga kirahisi tu, waweza pia kutia nakshi kazi kwa mazingaombwe ya ziada unadanganya ni Mungu ili kuvutia waumini zaidi
 
Kila fani ili utoboe inabidi uwe nguli kwa mfano kuwa daktari tu hakukufanyi kutoboa ingekuwa hivyo wasingekuwa wanalia kuhusu ajira ila kuwa daktari bingwa mfano wa wanawake na uwe kweli ni bingwa umeelimika vizuri chances za kutoboa ni kubwa na kutegemea ulianzia kazi wapi! na connection pia, kuna Dr. mmoja mhindi ni dentist na orthodentist kumuona just for consultation si chini ya 174,000 ana foleni kibao ya wagonjwa wanamtaka awatibie nilimpeleka mwanangu nikamkuta mh. Dr. Pind Chan naye anapata tiba but ukiangalia muda alioinvest, research alizofanya aisee unaona kabisaa jamaa yupo makini ba kazi yake!
Nenda kwa mawakili nguli kama yule mhindi somebody Lakha, au masumbuko lamwai, au tenga nao unakuta walikuwa nguli kwenye sheria.
Njoo kwa wahasibu kuna akina late Dr. Mengi, Yona Killagane, Massawe wa Ernst & Young, na wengine na wao walikuwa ni manguli kwenye fani ya uhasibu automatically walitengeneza pesa na kumudu maisha vizuri tu.
Point yangu ni kuwa sio kweli kuwa ukisomea uhandisi, ufamasia, udaktari, architect basi maisha umeyapatia🤣😂

Ninafamu mtu ambaye alisoma Architect akakosa kazi za uarchitect zinazomlipa kama anavyotaka akaanza kufanya mitihani ya nbaa akapata cpa akajibidisha kwenye kazi within a few years akawa finance director somewhere akawa na mpunga mnene. So tusikariri.

Nafahamu Mtu alisomea udaktari Muhimbili, masters akafanya ya development studies leo hii ni lecture wa development studies, narudia tena tusikariri🤣😂
Namfahamu mtu alisomea udaktari baadae akawa mtangazaji, akaendeleza kampuni ya bima ya baba ake maana udaktari haukuwa unamlipa leo hii pia ni promota pia muziki so tusikariri.

Yupo raisi wa club moja hapa nchini ni Engineer kaona haulipi kaingia kwenye michezo kaona kunalipa🤣😂

Vilevile nafahamu cpa graduate ambaye analima matikiti na anasema yanamlipa sana tu na anajuta why alipoteza muda kutafuta cpa😭🤣😂
 
Familia Yako ni Bora sana ,jivunie sana kuwa na baba kama huyo ....

Sisi wengine tumezaliwa bahati mbaya sijui ,na tunaishi kwa maksudi maana Tunafamilia za hovyo ,ukoo wa hovyo unanuka umasikin kuanzia chini mpaka juu ...hakuna mtu wa kukushauri chochote unazaliwa ,unakuwa kama ng'ombe hakuna anayekuzingatia .....ukitaka ujunyonge ,ufe hakuna mtu anayekuuliza ..
 
Huyo mzee wang alikuja mwaka gani toka china?
 
Ni hela ya kawaida sana sema wabongo akili nyingi ni za kimasikini! Mshahara haujawahi kumtajirisha mtu kama hana ubunifu!
wabongo mnadharau elimu lakini kiukweli wabongo wengi hawajasoma na ndio maana CCM wanajipigia tu kura na hawawezi toka madarakani.Nchi zenye wasomi wengi hamna upuuzi kama wa hapo bongo.ie. Kenya.
 
wabongo mnadharau elimu lakini kiukweli wabongo wengi hawajasoma na ndio maana CCM wanajipigia tu kura na hawawezi toka madarakani.Nchi zenye wasomi wengi hamna upuuzi kama wa hapo bongo.ie. Kenya.
Nani alikwambia elimu ni kuajiriwa tu!Mimi nazungumzia elimu sio ya kuajiriwa tu hata kujiajiri na kuanzisha project zako kubwa!
 
Nani alikwambia elimu ni kuajiriwa tu!Mimi nazungumzia elimu sio ya kuajiriwa tu hata kujiajiri na kuanzisha project zako kubwa!
Kuna sehemu nimeandika kuajiriwa hapo??? Tayari hapo nimeshakuona elimu yako ndogo hujaelewa hata nilichokieleza. Bongo kuna wajinga wengi sana ndio maana kuiongoza rahisi tu.
 
Hapahapa bongo nimeshuhudia yafuatayo

Mkuu idara ya mauzo M10 kwa mwezi,
Mkuu idara ya operation M8 kwa mwezi,
IT M8 kwa mwezi,

Sio kila aliyeajiriwa analipwa kiduchu mkuu.
Mpakaa kufikia kulipwa huo mshahara anatakiwa awe na elimu kiasi gani ama experience kiasi gani mkuu???
 
Nimesoma elimu yetu kwa kiwango cha kawaida, ila nikiri ni upotezaji wa muda sana.

Kama kungekuwa na academy za Mpira kama majuu, mtoto wangu ningempigania akacheze Boli.

Elimu ya Bongo ni miyeyusho
 
Mimi watoto wangu wataishia form 4, hata wakipiga one ya single digit..

Then , kila mmoja Nampa mtaji ulioshiba , nawapa ramani za biashara , then waendelee na maisha Yao..

Nitawasimamia kwenye business mpka waweze kujisimamia wenyewe..
 
Hapo umechapia, hawezi kujuta kupoteza muda kusoma cpa; hiyo inamsaidia kutunza mahesabu yake ya kila siku katika biashara ya matikiti yake. Kumbuka sio kwamba anauza matikiti tu, bali na yeye ananunua mahitaji ya hicho kilimo; mbegu, madawa, utaalamu, mishahara, nk. Vyote hivyo vinahitaji utunzaji wa hesabu (bookeeping), ili mwisho wa siku, akija kuuza matikiti yake, aingize gharama na mapato na kupata balance sheet. Sasa bila elimu ya uhasibu, haya atayaweza? Na kwa kadiri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo biashara nayo inazidi kukua, na uzito wa mahesabu unaongezeka. Hivyo hajutii kupoteza muda wa kusomea cpa.
 
Mitaongezea na kozi ya saikolojia na counselling
 
Katika kitu ambacho sitothubutu kuwa andaa ni kwenye kuajiriwa.

Watoto ni kuwaandalia biashara waziendeleze.

Train them to be investors, business people or enterpreneurs.

#Ynwa
 
Ajira ni ajira tu.

Upuuzi mtupuu

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…