sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
- #21
Hata hakuna haja ya kuhangaiko huko kote theo;ogyNawatia moyo wale ambao ukoo wao wamesoma Theology au hawajasoma ila ni wachungaji na , mapadri,manabii ,mitume,walimu wa injili, Hawa maokoto yao hayaeleki , okoto , Moja TU la jumapili kwa mwamposa ,mwakasege,Geor Dave linalipa mishahara ya ukoo mzima wa enginer, daktari na lawyer kwa mwezi . Mjini mipango. Nina mtoto wangu kichwa sana anasema anataka kuwa mchungaji, nabii au mtume nimemtia moyo akeze .
Kwanza kabisa inabidi ujinadi ni nabii uanzishe kanisa la kilokole.
Pili uwe na connection ya elimu ya siri ya kukodisha watu wa kujiangusha na kutoa shuhuda za uongo, ukikurupuka ndio utasikia kama hawa wanaokamatwa wamelipa mtu elf 50 ajidai kadondoka kwenye paa, huku elimu ya siri inahitajika zaidi kuzidi hio theology.
Pesa zipo nyingi sana ni kucheza na imani za watu tu hasa wanawake, maji waweza nunua elf 1 ukauza elf 10 unabandika kikaratasi ni ya baraka, mafuta ya mzaituni waweza uza hadi laki 3, kuombea mtu wewe kemea tu laki 5 unapiga kirahisi tu, waweza pia kutia nakshi kazi kwa mazingaombwe ya ziada unadanganya ni Mungu ili kuvutia waumini zaidi