johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kununuliwa au Kutonunuliwa kunabaki kuwa Siri ya Mramba AsaliMbunge yupi amenunuliwa kujiunga na chama cha Ruto kama alivyokuwa akiwanunuwa wapinzani shetani wa Chato?
Wapinzani wananunuliwa?Mbunge yupi amenunuliwa kujiunga na chama cha Ruto kama alivyokuwa akiwanunuwa wapinzani shetani wa Chato?
Penye Mnunuzi lazima pana muuzajiWapinzani wananunuliwa?
Wanabebwa na matenga kama ya nynya?
Kwa hiyo wapinzani wa hapa Tanzania ni mizigo ya kuuzwa?
ππππ
Walinunuliwa huku wamewekewa bastola kichwani.Wapinzani wananunuliwa?
Wanabebwa na matenga kama ya nynya?
Kwa hiyo wapinzani wa hapa Tanzania ni mizigo ya kuuzwa?
ππππ
Hayo ni mawazo yakoWalinunuliwa huku wamewekewa bastola kichwani.
Ukipata uhai miaka ijayo muulize Ndugai barua ya kujiuzuru uspika aliandika mwenyewe au aliletewa tu aweke saini?