Falsafa za Hayati Magufuli zatawala Kenya, ibada za Jumapili zatumika kuhutubia Taifa!

Falsafa za Hayati Magufuli zatawala Kenya, ibada za Jumapili zatumika kuhutubia Taifa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Sukuma Gang mnaweza kujifariji walau jirani Kenya wanatembea na falsafa za Shujaa Magufuli;

1. Wabunge wanaunga Juhudi za Dr. Ruto.

2. Hotuba za Kanisani Jumapili.

3. Matajiri wanalipa kodi.

4. Wanyonge wanapata upendeleo nk.
 
Mbunge yupi amenunuliwa kujiunga na chama cha Ruto kama alivyokuwa akiwanunuwa wapinzani shetani wa Chato?
 
Wapinzani wananunuliwa?
Wanabebwa na matenga kama ya nynya?
Kwa hiyo wapinzani wa hapa Tanzania ni mizigo ya kuuzwa?
😁😁😁😁
Walinunuliwa huku wamewekewa bastola kichwani.

Ukipata uhai miaka ijayo muulize Ndugai barua ya kujiuzuru uspika aliandika mwenyewe au aliletewa tu aweke saini?
 
Back
Top Bottom