TAL alipokuwa anasema magufuli baada ya siku tatu gereji,nilikuwa simuelewi ikanibidi sasa nianze kufuatilia kampeni zake aisee nilikuwa namuonea huruma nilijua kbs he will never stand for another five years.Wataalamu walikua wameshauri baada tu ya kampeni awe kwenye long hospitalization; sasa tatizo kwanza likawa yeye kwa hofu kuwa akiondoka mama akikaaaa hataondoka ( kutokujiamini na woga ) ; kuwa akienda nje mabeberu watamuuwa ; lakini pia madaktari wake wakafikiri wanadanganywa ; wakaamini vifaaa vikinunuliwa watafanya wenyewe hizo procedure ( manunuzi makubwa sana )
Alipomuingiza Sheikh tu akaunguza na Kuharibu Imani yake, Huenda aliita Hadi ma Sangoma.Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
===
Msemaji wa familia ya Hayati Magufuli Ngusa Samike amesema "kabla ya kifo chake Rais Magufuli aliongoza sala na nyimbo akiwa na Madaktari na Wauguzi wake."
Alisema kabla ya kifo pia, "Mwadhama Polycap Kardinali Pengo na Paroko wa Parokia ya St. Peter Padre Alister Makubi walimpatia Rais Magufuli huduma ya kiroho ya mpako mtakatifu,"
"Pia Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Aboubakar Zubeir naye alimfanyia maombi kabla ya kifo chake."
Alitubu?Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
===
Msemaji wa familia ya Hayati Magufuli Ngusa Samike amesema "kabla ya kifo chake Rais Magufuli aliongoza sala na nyimbo akiwa na Madaktari na Wauguzi wake."
Alisema kabla ya kifo pia, "Mwadhama Polycap Kardinali Pengo na Paroko wa Parokia ya St. Peter Padre Alister Makubi walimpatia Rais Magufuli huduma ya kiroho ya mpako mtakatifu,"
"Pia Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Aboubakar Zubeir naye alimfanyia maombi kabla ya kifo chake."
Umeona eh...alibanaaaaa , Nature ikafanya àchie ...Leo wale aliokuwa nao kiwananga Mabeberu ,kukebehi Safari za.Nje ,wanabadilisha Mabegi!Maisha ni fumbo kubwa....
Mhimu hayupo mengine hatuhitajiMsemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
===
Msemaji wa familia ya Hayati Magufuli Ngusa Samike amesema "kabla ya kifo chake Rais Magufuli aliongoza sala na nyimbo akiwa na Madaktari na Wauguzi wake."
Alisema kabla ya kifo pia, "Mwadhama Polycap Kardinali Pengo na Paroko wa Parokia ya St. Peter Padre Alister Makubi walimpatia Rais Magufuli huduma ya kiroho ya mpako mtakatifu,"
"Pia Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Aboubakar Zubeir naye alimfanyia maombi kabla ya kifo chake."
Labda Malaika wa ChatoSasa yupo mbinguni na malaika wenzake!
Hata kaa asahau hata huko alipoUmeona eh...alibanaaaaa , Nature ikafanya àchie ...Leo wale aliokuwa nao kiwananga Mabeberu ,kukebehi Safari za.Nje ,wanabadilisha Mabegi!
Na posho zmepanda😁
Mishahara Juu,
DUNIANI UNAYAKIWA KIWA NA KIASI!
TUNA MIDA.MFUPI SANA WA.KUISHI!
Yupo mioyoni mwa watanzaniaMhimu hayupo mengine hatuhitaji
Labda watanzania vichaaYupo mioyoni mwa watanzania
Mangi aliwauza covid 19 akaenda.kula bata Nairobi kisha.DubaiHata kaa asahau hata huko alipo
Waliojazana Ufipa stLabda watanzania vichaa
Sijui hata umeandika nini wewe UWT?Mangi aliwauza covid 19 akaenda.kula bata Nairobi kisha.Dubai
Mbatia aliahidiwa biashara ya products komui na.selasina
Hata UWT hamhitajiWaliojazana Ufipa st
Ukimaliza kuuza hiyo chang'aa utaelewaSijui hata umeandika nini wewe UWT?
Jana posho imetoka unasumbuaUkimaliza kuuza hiyo chang'aa utaelewa
Yupo mioyoni mwa watanzania
Yeye hakujiona kama mwenye dhambi.Alitubu?
SwadaktaMhimu hayupo mengine hatuhitaji