Familia: Hayati Magufuli aliongoza sala na nyimbo kabla ya kifo chake, alipakwa mafuta matakatifu. Pia aliombewa na Mufti

Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.

Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.

Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.

Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.

Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.

Maendeleo hayana vyama!
===

Msemaji wa familia ya Hayati Magufuli Ngusa Samike amesema "kabla ya kifo chake Rais Magufuli aliongoza sala na nyimbo akiwa na Madaktari na Wauguzi wake."

Alisema kabla ya kifo pia, "Mwadhama Polycap Kardinali Pengo na Paroko wa Parokia ya St. Peter Padre Alister Makubi walimpatia Rais Magufuli huduma ya kiroho ya mpako mtakatifu,"

"Pia Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Aboubakar Zubeir naye alimfanyia maombi kabla ya kifo chake."
Nalo jiwe kuu waliloliacha waashi, na jiwe hilo, yeyote atakaye jikwaa kwalo atavunjjiika vipande vipande
 
Ujinga unatuumiza sana.
Ukweli ni kwamba, ukibahatika kuomba msamaha muda mfupi kabla ya kifo chako, 100% unakuwa umepokelewa na Mungu.
Lakini pia ikumbukwe kuwa, hukumu ya Mungu si kama ya mwanadamu. Mungu haangalii kosa ulilofanya bali anaangalia sababu/dhamira iliyopelekea wewe kufanya kosa hilo.
Kwa mfano, unakutana na mtu amechukua sumu, na anasema kabisa kwamba anakwenda kutia sumu maji ya mto unaotumiwa na maelfu ya watu na wanyama wengine. Bila kuchelewa unamnyonga papo kwa papo.
Katika kesi hii, Mungu hataangalia kosa ulilofanya bali ataangalia zaidi dhamira yako kufanya hivyo, ambayo ni kuokoa maelfu ya watu ambao wangekufa kutokana na sumu ambayo ingetiwa mtoni.

Lakini, wengi wanapiga kelele eti ooh, aliua watu ingawa hawaleti hoja za msingi.
Tanzania ina watu takribani milioni 60. Kama ni kweli, tujiulize, kwa nini katika watu milioni 60 wachache tu kati yao ndo wauawe? Wamefanya au walidhamiria kuleta majanga gani katika Nchi?
Kwenye hili, tuache ujinga, tusihukumu kitu tusichokijua.
Kiwango chako cha kumjua
Mungu kinatia shaka.
Soma neno la Mungu,
Ongozwa na Roho Mtakatifu.
Uone kama utaandika hiki ulichoandika.
Mungu si mwanadamu,
Mawazo yake si yako.
Hekima yake si yako.
 
Hakika maisha ya duniani ni safari ndefu Sana na tusiyojuwa tunakokwenda..

Binadamu anapofariki pale ndy mwanzo wa safari ya kurejea kwa muumba wetu inapoanzia.

-Iwe ulikuwa mtu mwema ,
-Iwe ulikuwa mtu muovu hapa duniani,
Ni lazima ufe.

Zipo dalili zinazoonyesha ubaya au uzuri wa safari yako huko uendako.
A--Kama ni mwema basi hapa hapa duniani dalili njema zitaonekana kwako
Mfano
-Kupata nafasi ya kuomba toba kabla hujafa.
-Mazishi yako kuumiza mioyo wa watu wema.
-Kifo chako kufurahiwa na watu waovu ,wanga,wachawi,watu wenye chuki zisizo na sababu..

Mtu muovu akifa hatopata nafasi hata ya kutamka neno lolote litakalo mpendeza Mungu.
Wala hatopata nafasi ya kuomba toba.
Unapoomba toba , hakika Mungu amekuridhia hata kabla hujaomba.

B--Mtu muovu msiba wake utakuwa ni huzuni kwa watu waovu wenzake.,wezi, wachawi,wanga nk.

Magufuli alionyesha ishara zote za mtu mwema ,
Alionyesha ishara zote za uzuri wa safari yake huko aendako. .
Tulishuhudia wanga na wachawi wakifanya sherehe kushangilia kifo chake.
Na kuacha watu wema wakimlilia Magufuli hata leo.

Sleep well my President.
Sleep well John.
 
hizo propaganda ni kuwa aliomba lakini ukweli Magufuli alikufa kwa uzembe hasa wa madaktari wale binafsi na watu wake wa karibu ambao hawakutaka kuamini wenye uwezo Kumtubu kwa Uhuru au hata ushauri wa kumpeleka haraka Ujerumani pale alipoanza kuzoroto na mliona ile wiki hadi anazunguka na drip majukwaani pale Ubungo na mbezi … alikuwa kwenye stage mbaya sana ; lakini walimuacha tu eti ni “mkali” bila kujua mtu mgonjwa pia anaweza kuwa na insanity ya denial ; kaingia Comma ndio wanaanza kuhangaika wakati afya yake haingeweza tena kuhimili kuruka

kimsingi kwenye papara za madaktari wake kumfanyia electro magnetic resurrection walizidisha wakamuuwa kwa mateso na uharibifu mkubwa kwenye internal organs
mwili wake ulielekea kuharibika kutokana na kukaaa naye akiwa amefariki huku wakijaribu kumzindua kwa umeme na hata spots of blood zilikuwa noted wakati wa kuaga siku ya kwanza mdomoni kutokana na madhara makubwa ya kuharibika kwa offals
kimsingi kama sio ubishi wa marehemu kukataaa matibabu na kuwa na madaktari wasio na uwezo kwakua tu ni marafiki au jamaa zake
Na zaidi Uzembe wa madaktari kushindwa kuchukua maamuzi magumu kwa kumishirikisha Baraza la usalama la Taifa ( mfano kama ni mbishi wangerunisiwa kumpiga nusu kaputi kabla hajafika stage mbaya na kumfanyia medical evacuation) Magufuli hakua mtu wa kufa mapema just at the age of 60 alikua anamaliza muda wake ; japo ingemlazimu kupata matibabu kamili ya hadi miezi sita na recovery ya miezi sita mingine Jambo ambalo huko nyuma hata Mkapa alikubali kupata matibabu …Kikwete pia alijiondoa kwenye hatari ya Kansa na matatizo yake ya neuro yaliyokua yaakifanya awe anapoteza Fahamu lakinj walivuka kwa kuwa humble mama kuwa na madaktari sahihi wanaopangiwa na kuamini taasisi ya Urais
( sijubu maswali na simlazimishi mtu kuamini )
 
Ninachozungumzia mm ni nafasi aliyopata Magufuli ya kuomba toba kabla hajafa.

Hyo ni nafasi pekee ya mtu mwema mbele ya Mungu.
 
Kitendo tu cha kuombewa na shehe ubwabwa ikawa basi tena
 
hizo propaganda ni kuwa aliomba lakini ukweli Magufuli alikufa kwa uzembe hasa wa madaktari wale binafsi na watu wake wa karibu ambao hawakutaka kuamini wenye uwezo Kumtubu kwa Uhuru au hata ushauri wa kumpeleka haraka Ujerumani pale alipoanza kuzoroto na mliona ile wiki hadi anazunguka na drip majukwaani pale Ubungo na mbezi … alikuwa kwenye stage mbaya sana ; lakini walimuacha tu eti ni “mkali” bila kujua mtu mgonjwa pia anaweza kuwa na insanity ya denial ; kaingia Comma ndio wanaanza kuhangaika wakati afya yake haingeweza tena kuhimili kuruka

kimsingi kwenye papara za madaktari wake kumfanyia electro magnetic resurrection walizidisha wakamuuwa kwa mateso na uharibifu mkubwa kwenye internal organs
mwili wake ulielekea kuharibika kutokana na kukaaa naye akiwa amefariki huku wakijaribu kumzindua kwa umeme na hata spots of blood zilikuwa noted wakati wa kuaga siku ya kwanza mdomoni kutokana na madhara makubwa ya kuharibika kwa offals
kimsingi kama sio ubishi wa marehemu kukataaa matibabu na kuwa na madaktari wasio na uwezo kwakua tu ni marafiki au jamaa zake
Na zaidi Uzembe wa madaktari kushindwa kuchukua maamuzi magumu kwa kumishirikisha Baraza la usalama la Taifa ( mfano kama ni mbishi wangerunisiwa kumpiga nusu kaputi kabla hajafika stage mbaya na kumfanyia medical evacuation) Magufuli hakua mtu wa kufa mapema just at the age of 60 alikua anamaliza muda wake ; japo ingemlazimu kupata matibabu kamili ya hadi miezi sita na recovery ya miezi sita mingine Jambo ambalo huko nyuma hata Mkapa alikubali kupata matibabu …Kikwete pia alijiondoa kwenye hatari ya Kansa na matatizo yake ya neuro yaliyokua yaakifanya awe anapoteza Fahamu lakinj walivuka kwa kuwa humble mama kuwa na madaktari sahihi wanaopangiwa na kuamini taasisi ya Urais
( sijubu maswali na simlazimishi mtu kuamini )
kipindi cha kampeni alikuwa ni mgonjwa mara kadhaaa alikuwa hawez kusimama jukwaani mda mrefu
 
Ujinga unatuumiza sana.
Ukweli ni kwamba, ukibahatika kuomba msamaha muda mfupi kabla ya kifo chako, 100% unakuwa umepokelewa na Mungu.
Lakini pia ikumbukwe kuwa, hukumu ya Mungu si kama ya mwanadamu. Mungu haangalii kosa ulilofanya bali anaangalia sababu/dhamira iliyopelekea wewe kufanya kosa hilo.
Kwa mfano, unakutana na mtu amechukua sumu, na anasema kabisa kwamba anakwenda kutia sumu maji ya mto unaotumiwa na maelfu ya watu na wanyama wengine. Bila kuchelewa unamnyonga papo kwa papo.
Katika kesi hii, Mungu hataangalia kosa ulilofanya bali ataangalia zaidi dhamira yako kufanya hivyo, ambayo ni kuokoa maelfu ya watu ambao wangekufa kutokana na sumu ambayo ingetiwa mtoni.

Lakini, wengi wanapiga kelele eti ooh, aliua watu ingawa hawaleti hoja za msingi.
Tanzania ina watu takribani milioni 60. Kama ni kweli, tujiulize, kwa nini katika watu milioni 60 wachache tu kati yao ndo wauawe? Wamefanya au walidhamiria kuleta majanga gani katika Nchi?
Kwenye hili, tuache ujinga, tusihukumu kitu tusichokijua.
Kwahiyo yuko Mbinguni na hakina Ben Saanane, Azory Gwanda, Lwajabe, Aqwelina!
 
Angewaomba na msamaha wote aliowakosea.
Ili kupata mpako wa wagonjwa, kutubu ni hatua ya lazima. Kwa utaratibu wa Kaniza Katoliki, huwafuati uliowakosea na kuwaomba msamaha, unaomba kwa ujumla
 
Amefanya toba lakini bado kama kuna wanaoendelea kulia kwasababu yake toba haitakuwa na maana. Ndugu za akina Ben Saanane, waliofungwa bila hatia n.k

Hawezi kuwa redeemed unless wote walioteseka kwa mkono wake wamepata haki.
Hivi mtu akikuua so maana yake kwamba amekupenda zaidi na amekutanguliza kwa mungu ili naye aje akukute huko? Hupaswi kusikitika mtu akiua ndugu yako maana yake amempenda Sana akaona walimwengu wasimharibu.
 
Wewe siyo Mungu!
Hapa napambana kittens mema ili nikiingia tu mbinguni namtafuta nikihakikishiwa yuko namsaka namuua ,nikiambwiwa yuko motoni(anakostahili) natongoza malaika nahamishiwa motoni naenda muulia huko
 
Hii thread haina maana yoyote; so what? Wengi tu tunaongoza maombi kwenye familia zetu tulete mrejesho humu?
 
Kuna makosa aina mbili katika imani;

1) Kumkosea Mungu.

2) Kumkosea Mwanaadamu.

Kuna baadhi ya makosa Mungu hasamehi mpaka ukamuombe msamaha uliemkosea kwanza, mfano Kulala na Mke/Mume Wa Mtu. Hapa kwa mungu kosa ni kuzini, kwa mwanaadamu umemchafulia haki yake inayotambulika mpaka mbinguni.

Msamaha kwa mungu unakubalika kwa kuapa kutokurudia tena kosa, sambamba na kurekebisha ulipo kosea (Mfano umefunga mtu gerezani kwa chuki, unapaswa kumwachia huru kwanza na kumpa fidia stahiki kwa kifungo ulichompa, halafu ndio unaomba msamaha kwa mungu na kuapa kutokurudia tena kufunga mtu asie na hatia - Ukiua mtu asie na hatia, unapaswa kukiri kosa na kuwaomba msamaha wana familia kwanza then unarudi kwa mungu kutubia na kuapa kutokurudia tena kuua).

Then walio dhulumiwa na kufungwa magerezani kwa chuki basi aliwaachia kabla ya kutubia dhambi zake?

Alikwenda kuwaomba msamaha familia za waliopoteza maisha yao kwa kivuli cha watu wasiojulikana?

Alirudisha haki za watu waliopewa kesi za uhujumu uchumi ili walipishwe fidia?

Alirudisha haki za watu waliobambikozwa KODI na MAKOSA iwe ya trafik barabarani n.k?

Kazi kweli kweli
 
kipindi cha kampeni alikuwa ni mgonjwa mara kadhaaa alikuwa hawez kusimama jukwaani mda mrefu

Wataalamu walikua wameshauri baada tu ya kampeni awe kwenye long hospitalization; sasa tatizo kwanza likawa yeye kwa hofu kuwa akiondoka mama akikaaaa hataondoka ( kutokujiamini na woga ) ; kuwa akienda nje mabeberu watamuuwa ; lakini pia madaktari wake wakafikiri wanadanganywa ; wakaamini vifaaa vikinunuliwa watafanya wenyewe hizo procedure ( manunuzi makubwa sana )
 
hizo propaganda ni kuwa aliomba lakini ukweli Magufuli alikufa kwa uzembe hasa wa madaktari wale binafsi na watu wake wa karibu ambao hawakutaka kuamini wenye uwezo Kumtubu kwa Uhuru au hata ushauri wa kumpeleka haraka Ujerumani pale alipoanza kuzoroto na mliona ile wiki hadi anazunguka na drip majukwaani pale Ubungo na mbezi … alikuwa kwenye stage mbaya sana ; lakini walimuacha tu eti ni “mkali” bila kujua mtu mgonjwa pia anaweza kuwa na insanity ya denial ; kaingia Comma ndio wanaanza kuhangaika wakati afya yake haingeweza tena kuhimili kuruka

kimsingi kwenye papara za madaktari wake kumfanyia electro magnetic resurrection walizidisha wakamuuwa kwa mateso na uharibifu mkubwa kwenye internal organs
mwili wake ulielekea kuharibika kutokana na kukaaa naye akiwa amefariki huku wakijaribu kumzindua kwa umeme na hata spots of blood zilikuwa noted wakati wa kuaga siku ya kwanza mdomoni kutokana na madhara makubwa ya kuharibika kwa offals
kimsingi kama sio ubishi wa marehemu kukataaa matibabu na kuwa na madaktari wasio na uwezo kwakua tu ni marafiki au jamaa zake
Na zaidi Uzembe wa madaktari kushindwa kuchukua maamuzi magumu kwa kumishirikisha Baraza la usalama la Taifa ( mfano kama ni mbishi wangerunisiwa kumpiga nusu kaputi kabla hajafika stage mbaya na kumfanyia medical evacuation) Magufuli hakua mtu wa kufa mapema just at the age of 60 alikua anamaliza muda wake ; japo ingemlazimu kupata matibabu kamili ya hadi miezi sita na recovery ya miezi sita mingine Jambo ambalo huko nyuma hata Mkapa alikubali kupata matibabu …Kikwete pia alijiondoa kwenye hatari ya Kansa na matatizo yake ya neuro yaliyokua yaakifanya awe anapoteza Fahamu lakinj walivuka kwa kuwa humble mama kuwa na madaktari sahihi wanaopangiwa na kuamini taasisi ya Urais
( sijubu maswali na simlazimishi mtu kuamini )
Kwa mara ya kwanza nimepata amani moyoni mwangu...This sounds true...Tumejazwa jazba, uwongo na hearsays kibao kama inavyofanyika kwa issues za corona...Where do we get honest and sincere people like you PM? May God bless you...

Africa tuna kwama sana kwakutopenda kupata facts...Tunapenda sana vitu vya kishabiki na vinavyoshibisha hisia i.e emotions other than fact...Hii ni dalili ya ignorance na low level of development...Tuna amini sana myths, may God help us!

RIEP JPM Mungu akusamehe makosa yako na akupe raha ya milele, Amina
 
Bla kusahu wale aliewapoteza
Mimi binafsi, bila chembe hata moja ya unafiki, naamini kwa 98% JPM yupo Mbinguni pamoja na Malaika wa Mungu.

Watanzania, tutaacha lini kufikiri kipurure namna hiyo?
Ukweli ni kwamba, Rais legelege/ mtepetevu huua watu wengi mara mia zaidi ya Rais mwajibikaji kama alivyokuwa JPM.
Kwa maana hiyo, JPM katika uongozi wake ameokoa maisha ya watanzania wengi zaidi kuliko Rais yeyote yule ukiachana na Nyerere.
Maeneo ambayo JPM ameokoa maisha ya watanzania wengi ni kama vile:-
1. AJALI ZA BARABARANI.
Ajali za barabarani ambazo zilikuwa zikigharimu maisha ya watanzania wengi zilikwisha kutokana na uongozi shupavu wa JPM.
2.VIBAKA MITAANI.
Vibaka mitaani walikwisha kutokana na Askari kufanya kazi kwa bidii wakiogopa kukutana na mkono wa JPM.
3.WAGONJWA MAHOSPITALINI.
Wagonjwa wengi mahospitalini wameokoa maisha yao kutokana na Madaktari kuacha uzembe kazini kwa kuogopa kukutana na mkono wa JPM.
Hayo ni maeneo machache tu niliyoyataja.
Kwa hiyo, Rais legelege/ mtepetevu hawezi kusimamia mambo hayo kwa nguvu zote na kusababisha kuzaliwa kwa majanga ya kila aina katika Nchi.
Majanga hayo ni pamoja na uzembe makazini, Rushwa, uonevu, wizi wa mali za umma, unyang'anyi, vibaka kutapakaa mitaani, utapeli, uhujumu wa mali za umma nk.
Hayo yote huleta madhara makubwa sana kwa Wananchi.
JPM alijitahidi sana kupigania hayo, hivyo, anakosaje kuingia Mbinguni?
Rais legelege anaweza asifike Mbinguni kutokana na kutoweza kuyasimamia hayo na hatimaye kusababisha madhara makubwa kabisa kwa Wananchi.
 
Ujinga unatuumiza sana.
Ukweli ni kwamba, ukibahatika kuomba msamaha muda mfupi kabla ya kifo chako, 100% unakuwa umepokelewa na Mungu.
Lakini pia ikumbukwe kuwa, hukumu ya Mungu si kama ya mwanadamu. Mungu haangalii kosa ulilofanya bali anaangalia sababu/dhamira iliyopelekea wewe kufanya kosa hilo.
Kwa mfano, unakutana na mtu amechukua sumu, na anasema kabisa kwamba anakwenda kutia sumu maji ya mto unaotumiwa na maelfu ya watu na wanyama wengine. Bila kuchelewa unamnyonga papo kwa papo.
Katika kesi hii, Mungu hataangalia kosa ulilofanya bali ataangalia zaidi dhamira yako kufanya hivyo, ambayo ni kuokoa maelfu ya watu ambao wangekufa kutokana na sumu ambayo ingetiwa mtoni.

Lakini, wengi wanapiga kelele eti ooh, aliua watu ingawa hawaleti hoja za msingi.
Tanzania ina watu takribani milioni 60. Kama ni kweli, tujiulize, kwa nini katika watu milioni 60 wachache tu kati yao ndo wauawe? Wamefanya au walidhamiria kuleta majanga gani katika Nchi?
Kwenye hili, tuache ujinga, tusihukumu kitu tusichokijua.
unajidanganya chief.
 
Back
Top Bottom