Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Alitutesa snSwadakta
kipindi cha kampeni alikuwa ni mgonjwa mara kadhaaa alikuwa hawez kusimama jukwaani mda mrefu
Paulo mtume aliwaomba msamaha aliowaua baada ya kuongoka/kuokoka? (Sauli - Paulo).Kuna makosa aina mbili katika imani;
1) Kumkosea Mungu.
2) Kumkosea Mwanaadamu.
Kuna baadhi ya makosa Mungu hasamehi mpaka ukamuombe msamaha uliemkosea kwanza, mfano Kulala na Mke/Mume Wa Mtu. Hapa kwa mungu kosa ni kuzini, kwa mwanaadamu umemchafulia haki yake inayotambulika mpaka mbinguni.
Msamaha kwa mungu unakubalika kwa kuapa kutokurudia tena kosa, sambamba na kurekebisha ulipo kosea (Mfano umefunga mtu gerezani kwa chuki, unapaswa kumwachia huru kwanza na kumpa fidia stahiki kwa kifungo ulichompa, halafu ndio unaomba msamaha kwa mungu na kuapa kutokurudia tena kufunga mtu asie na hatia - Ukiua mtu asie na hatia, unapaswa kukiri kosa na kuwaomba msamaha wana familia kwanza then unarudi kwa mungu kutubia na kuapa kutokurudia tena kuua).
Then walio dhulumiwa na kufungwa magerezani kwa chuki basi aliwaachia kabla ya kutubia dhambi zake?
Alikwenda kuwaomba msamaha familia za waliopoteza maisha yao kwa kivuli cha watu wasiojulikana?
Alirudisha haki za watu waliopewa kesi za uhujumu uchumi ili walipishwe fidia?
Alirudisha haki za watu waliobambikozwa KODI na MAKOSA iwe ya trafik barabarani n.k?
+ MumeoHayupo kwa wapumliwa visogoni tu ka wewe.
Baba yetu wa Imani ni mmoja.IbrahimSifahamu hawa Viongozi hawana msingi wa imani waisimamio? Mungu wa Padre aliyempaka mafuta ndie mungu wa Sheikh? Mbona anachanganya miungu?
Kama huko (mbinguni/peponi), nako kuna utapeli, sina haja ya kujihangaisha kutafuta njia za kwenda huko!Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
===
Msemaji wa familia ya Hayati Magufuli Ngusa Samike amesema "kabla ya kifo chake Rais Magufuli aliongoza sala na nyimbo akiwa na Madaktari na Wauguzi wake."
Alisema kabla ya kifo pia, "Mwadhama Polycap Kardinali Pengo na Paroko wa Parokia ya St. Peter Padre Alister Makubi walimpatia Rais Magufuli huduma ya kiroho ya mpako mtakatifu,"
"Pia Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Aboubakar Zubeir naye alimfanyia maombi kabla ya kifo chake."
Umewahi kufika Muhimbili?..binafsi nilianza kushtuka alivyochelewa kufika kwenye ibada ya mazishi ya Mzee Mkapa kule Lupaso.
..pia kila alipokwenda kulikuwa na mashine kama feni kubwa karibu na alipokuwa akiketi jukwaani.
..alivyopotea na watu walivyoanza kumuulizia na alivyoshindwa kujitokeza Kanisani siku ya jumapili nikahisi ana tatizo kubwa.
Unashsngaa mtu kupulizwa na feni?..umewahi kufika Mzena?
Unaelewa sakramenti ya kupakwa mafuta matakatifu?Ili Mungu akusamehe sharti uwaombe msamaha kwanza uliowakosea. Je, hayo yalifuatwa?
Unashsngaa mtu kupulizwa na feni?
Mmmh Lissu bado hajasameheSasa yupo mbinguni na malaika wenzake!
HayaMsemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
===
Msemaji wa familia ya Hayati Magufuli Ngusa Samike amesema "kabla ya kifo chake Rais Magufuli aliongoza sala na nyimbo akiwa na Madaktari na Wauguzi wake."
Alisema kabla ya kifo pia, "Mwadhama Polycap Kardinali Pengo na Paroko wa Parokia ya St. Peter Padre Alister Makubi walimpatia Rais Magufuli huduma ya kiroho ya mpako mtakatifu,"
"Pia Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Aboubakar Zubeir naye alimfanyia maombi kabla ya kifo chake."
Ukisoma vitabu vya dini,Mungu aliwasamehe wauaji na waliotenda dhulma nyingi sana kwa watu mfano ni Paul,Daudi,Jamaa aliyekufa na yesu msalabani,unadhani hawa waliomba msamaha kwa kila mtu waliyemkosea hakuna hyo theory unayosema.Sidhani kama ile ni toba!
Vipi aliowaumiza aliwaomba msamaha wao?
"Waliopotea' aliwaomba msamaha ndugu zao ikiambatana na kuwaambia wako wapi?
Walioporwa mali zao kwa maagizo yake nao aliwaomba msamaha?
Toba ni kuwaomba msamaha uliowakosea na sio hayo mengine!
Kufanya nini wakati bima yangu hairuhusu!..umewahi kufika Mzena?
Field gani?Hehe...ka unajiamini ingia field simama jukwaani umtukane JPM uone kitakachokupata.
Nikiunganisha niliyoyasikia na uliyosema naamini ulichoandika.hizo propaganda ni kuwa aliomba lakini ukweli Magufuli alikufa kwa uzembe hasa wa madaktari wale binafsi na watu wake wa karibu ambao hawakutaka kuamini wenye uwezo Kumtubu kwa Uhuru au hata ushauri wa kumpeleka haraka Ujerumani pale alipoanza kuzoroto na mliona ile wiki hadi anazunguka na drip majukwaani pale Ubungo na mbezi … alikuwa kwenye stage mbaya sana ; lakini walimuacha tu eti ni “mkali” bila kujua mtu mgonjwa pia anaweza kuwa na insanity ya denial ; kaingia Comma ndio wanaanza kuhangaika wakati afya yake haingeweza tena kuhimili kuruka
kimsingi kwenye papara za madaktari wake kumfanyia electro magnetic resurrection walizidisha wakamuuwa kwa mateso na uharibifu mkubwa kwenye internal organs
mwili wake ulielekea kuharibika kutokana na kukaaa naye akiwa amefariki huku wakijaribu kumzindua kwa umeme na hata spots of blood zilikuwa noted wakati wa kuaga siku ya kwanza mdomoni kutokana na madhara makubwa ya kuharibika kwa offals
kimsingi kama sio ubishi wa marehemu kukataaa matibabu na kuwa na madaktari wasio na uwezo kwakua tu ni marafiki au jamaa zake
Na zaidi Uzembe wa madaktari kushindwa kuchukua maamuzi magumu kwa kumishirikisha Baraza la usalama la Taifa ( mfano kama ni mbishi wangerunisiwa kumpiga nusu kaputi kabla hajafika stage mbaya na kumfanyia medical evacuation) Magufuli hakua mtu wa kufa mapema just at the age of 60 alikua anamaliza muda wake ; japo ingemlazimu kupata matibabu kamili ya hadi miezi sita na recovery ya miezi sita mingine Jambo ambalo huko nyuma hata Mkapa alikubali kupata matibabu …Kikwete pia alijiondoa kwenye hatari ya Kansa na matatizo yake ya neuro yaliyokua yaakifanya awe anapoteza Fahamu lakinj walivuka kwa kuwa humble mama kuwa na madaktari sahihi wanaopangiwa na kuamini taasisi ya Urais
( sijubu maswali na simlazimishi mtu kuamini )
Hatuna mamlaka mengine zaidi ya kusema "Mwenyezi Mungu Mwenye wingi wa Rehema aipokee Roho yake Pema Peponi. Amin" Kristo Yesu aliwaombea msamaha hata wauaji wake, Shahidi Stefano alimwomba Mwenyezi Mungu asiwahesabie wauaji wake kosa walilokuwa wanalitenda la kumuua yeye.Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.