Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Ukiwa na jamii ambayo inaweza ikala ng'ombe 400 kwa siku moja ni tafsiri ya utajiri.
Ng'ombe 400 ni tafsiri ya kukamilika kwa miradi ya maji, umeme, elimu na afya. Ni tafsiri kwamba Tanzania hatuna sababu ya kuomba misaada nje maana tuna surplus
Swali gumu ambalo tunapaswa kujiuliza ; tungebadili ng'ombe 400 kuwa vituo vya afya au kununua dawa tungeokoa maisha ya watu wangapi?