Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Labda ni ile ya siku moja moja sio mbaya😅😅😅... Ila jamaa ni kama ameamua kuwafanya wakuu wa mikoa wengine wajione si kitu.Ukiwa na jamii ambayo inaweza ikala ng'ombe 400 kwa siku moja ni tafsiri ya utajiri.
Ng'ombe 400 ni tafsiri ya kukamilika kwa miradi ya maji, umeme, elimu na afya. Ni tafsiri kwamba Tanzania hatuna sababu ya kuomba misaada nje maana tuna surplus
Swali gumu ambalo tunapaswa kujiuliza ; tungebadili ng'ombe 400 kuwa vituo vya afya au kununua dawa tungeokoa maisha ya watu wangapi?
Una akili finyu unafikiri kila mtu anaumwa kama wewe kiasi cha kuhitaji kituo cha afya na dawaSwali gumu ambalo tunapaswa kujiuliza ; tungebadili ng'ombe 400 kuwa vituo vya afya au kununua dawa tungeokoa maisha ya watu wangapi?
Sio kila mtu anaumwa weweHapo zaidi ya million 200 zimeteketea yaani kituo cha Afya kingejengwa,
Siasa za rushwa zinaturudisha nyuma sana hapa Tanzania 🇹🇿,tumepiga kelele sana na hawabadiliki
Media UsageHivi Arusha tu ndiyo ina mkuu wa mkoa?
Anakupa nyama ya siku moja hakusaidii, bora akufundishe jinsi ya kujitafutia nyama yako ya kila siku,Sio kila mtu anaumwa wewe
Wacha watu wasioumwa wale nyama zao
Wewe kama nyama haipandi sababu ya maradhi yako shauri yako na afya yako mgogoro
Pambana na hali yako
CCM inalea upumbavu mwingi sanaUkiwa na jamii ambayo inaweza ikala ng'ombe 400 kwa siku moja ni tafsiri ya utajiri.
Ng'ombe 400 ni tafsiri ya kukamilika kwa miradi ya maji, umeme, elimu na afya. Ni tafsiri kwamba Tanzania hatuna sababu ya kuomba misaada nje maana tuna surplus
Swali gumu ambalo tunapaswa kujiuliza ; tungebadili ng'ombe 400 kuwa vituo vya afya au kununua dawa tungeokoa maisha ya watu wangapi?
Siku ya kufa ikifika hata ukizungushwa vituo vinne vya afya vyenye dawa zote, utakufa tuSwali gumu ambalo tunapaswa kujiuliza ; tungebadili ng'ombe 400 kuwa vituo vya afya au kununua dawa tungeokoa maisha ya watu wangapi?
Je, na wewe unashiriki makafara ya Makonda huko Arusha?Ukiwa na jamii ambayo inaweza ikala ng'ombe 400 kwa siku moja ni tafsiri ya utajiri.
Ng'ombe 400 ni tafsiri ya kukamilika kwa miradi ya maji, umeme, elimu na afya. Ni tafsiri kwamba Tanzania hatuna sababu ya kuomba misaada nje maana tuna surplus
Swali gumu ambalo tunapaswa kujiuliza ; tungebadili ng'ombe 400 kuwa vituo vya afya au kununua dawa tungeokoa maisha ya watu wangapi?
Nayeye atapigwa block na wazee WA no Reforms no electionsMrisho gambo kazi ipo ,,, KUTOBOA KWA HUYU MWAMBA mmmh