Familia kubwa kuliko zote nchini Uingereza inayoishi nyumba moja (watoto 22)

Ni kweli,unaweza kuwa na hela ila mimba kudunga ishu,au ukawa na uzazi hela huna watakula nyasi
 
Kama wanamiliki jumba lenye vyumba kumi, wanaweza ku afford kuishi kiufupi ni matajiri, nimeipenda hii familia japo kelele na kuamulia ugomvi itakuwa ni tatizo
Ni kweli , Vijana wa secondary walikuwa wanahojiwa wanasema wakifunga shule ni wanalala na kuamka na vilio na ugomvi wa watoto Kila siku Hadi shule zifunguliwe, ndomana wanaona Bora kwenda shule
 
Ni kweli , Vijana wa secondary walikuwa wanahojiwa wanasema wakifunga shule ni wanalala na kuamka na vilio na ugomvi wa watoto Kila siku Hadi shule zifunguliwe, ndomana wanaona Bora kwenda shule
Lockdown sijui ilikuwa aje? Uzuri wana biashara ya vyakula, pengine haikuathirika sana, ila ulaji wa watoto wasioenda popote, pesa ziliteketea, achilia mbali vurugu hapo ndani. Na bado bibie akabeba mimba! Akili haiko sawa hapa!
 
😂

Ni kweli wanasema bill ya chakula ilipanda maradufu.

Kipindi Cha corona walipanua business na kuanza kufanya online, wanasema mapato yali "double"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…