Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli,unaweza kuwa na hela ila mimba kudunga ishu,au ukawa na uzazi hela huna watakula nyasiHii sio kila mtu amejaliwa, Ni wachache Sana katika dunia na wanatokea mara moja moja Sana watu wa namna hii.
Hivyo napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa ajili ya familia hiiz Mungu awape wepesi katika kila hali na awafanikishie katika yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] indeed! Kikosi kipana mno ..Kikosi kipana in manara voice
Kuna ukomo wa kuzaa Kwa operation, nafikiri mwisho unaruhusiwa mara nneHuyo mama angekuwa anazaa kwa operesheni, sijui mishono kwenye hilo tumbo ingekuwaje!
Samahani, nawaza tu
Ni kweli , Vijana wa secondary walikuwa wanahojiwa wanasema wakifunga shule ni wanalala na kuamka na vilio na ugomvi wa watoto Kila siku Hadi shule zifunguliwe, ndomana wanaona Bora kwenda shuleKama wanamiliki jumba lenye vyumba kumi, wanaweza ku afford kuishi kiufupi ni matajiri, nimeipenda hii familia japo kelele na kuamulia ugomvi itakuwa ni tatizo
Lockdown sijui ilikuwa aje? Uzuri wana biashara ya vyakula, pengine haikuathirika sana, ila ulaji wa watoto wasioenda popote, pesa ziliteketea, achilia mbali vurugu hapo ndani. Na bado bibie akabeba mimba! Akili haiko sawa hapa!Ni kweli , Vijana wa secondary walikuwa wanahojiwa wanasema wakifunga shule ni wanalala na kuamka na vilio na ugomvi wa watoto Kila siku Hadi shule zifunguliwe, ndomana wanaona Bora kwenda shule
Mzee Mpili voiceKikosi kipana in manara voice
😂Lockdown sijui ilikuwa aje? Uzuri wana biashara ya vyakula, pengine haikuathirika sana, ila ulaji wa watoto wasioenda popote, pesa ziliteketea, achilia mbali vurugu hapo ndani. Na bado bibie akabeba mimba! Akili haiko sawa hapa!
Hapo ni watoto waanze kufyatua wajukuu wakae humohumo. Kila mtoto akizaa watoto watatu ana wajukuu 63 (21 * 3).Wapo vizur, sema siku hao watoto wakikua wakaanza kujitegemea hao wazazi kuna uwezekano mkubwa wa kuathirika kisaikolijia