Familia kuendeshwa na mwanamke ni Hali ya kawaida

Godoro la kioo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
456
Reaction score
1,003
Wakuu Salam Nina swali langu hapa nahitaji majibu kutoka kwenu

Unakuta mwanaume yupo na ana nguvu zake si kwamba labda amezeeka

Cha ajabu unakuta nyumba inaendeshwa na mwanamke

Yaani mwanamke ndo anapanga Leo tule Nini na kwa muda gani

Siyo hivyo tu kwenye mambo yanayohitaji maamuzi unakuta mwanamke ndo mwenye kauli ya mwisho

Nimekua nikisikia kitu kinaitwa limbwata
 
Jomba utakuwa mgeni na wanaume wa dar

Mwanaume wa Dar anauvumilivu wa ajabu sababu ya njaa

Wanaume mtepetotepeto mke anagongwa na jirani na hajali kabisa Tonge kinywani imeisha iyo

Dar imebaki na wanaume wachache sana

ila mambo 50 kwa 50 imekuja kuleta ushindani mkubwa sana kwenye ajira,wapo ambao wanapenda kulelewa lakini wapo wanaume wanaohangaika usiku na mchana ili familia ikae sawa lakini unakuta mfumo unamkataa halafu mke wake anapata kazi kirahisi je unategemea huyu mwanamke kumheshimu mume wake?so tusibeze hustle za wanaume wapo wanaopamba lakini ndiyo hivyo tena
 
Jomba mimi mwenyewe mpambanaji

Miji Jomba inaendeshwa kwa formula usipokuwa makini ndio ile chumba kimoko watoto 5 nyumba ya kupanga

Kwa nchi kana TZ sasa hakuna mwanaume wa kawaida mwenye kipato cha uhakika sembuse mjini.!?

Wanawake wanafursa sana kuliko wanaume kwenye nchi masikini kama tz

Kikubwa jipe faraja kwa kila utakachokabili ili usipatwe na msongo
 
Wakuu Salam Nina swali langu hapa nahitaji majibu kutoka kwenu

Unakuta mwanaume yupo na ana nguvu zake si kwamba labda amezeeka

Cha ajabu unakuta nyumba inaendeshwa na mwanamke

Yaani mwanamke ndo anapanga Leo tule Nini na kwa muda gani

Siyo hivyo tu kwenye mambo yanayohitaji maamuzi unakuta mwanamke ndo mwenye kauli ya mwisho

Nimekua nikisikia kitu kinaitwa limbwata
Achana na shemeji YAKO katafute kwako.

Nway ni sahihi YAANI Mimi nikae NAFIKIRIA nini wanakula home wakati MKE yupo Kila kitu kipo PESA nimeacha hakuna nongwa
 
Sasa mkuu,mwanaume ndo uamke asubuh uanze kupanga ratiba ya Leo mnakula nini? Hilo Sio limbwata huo ni uzwazwa Wa mwanaume husika!
 
Wakuu Salam Nina swali langu hapa nahitaji majibu kutoka kwenu

Unakuta mwanaume yupo na ana nguvu zake si kwamba labda amezeeka

Cha ajabu unakuta nyumba inaendeshwa na mwanamke

Yaani mwanamke ndo anapanga Leo tule Nini na kwa muda gani

Siyo hivyo tu kwenye mambo yanayohitaji maamuzi unakuta mwanamke ndo mwenye kauli ya mwisho

Nimekua nikisikia kitu kinaitwa limbwata
Baba ndio kichwa cha familia.. Ukiona hiyo hali ipo jua kashindwa kazi na mama kaamua kuchukua hatamu
 
Back
Top Bottom