Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Maisha ya kawaida tuHuyo mwanume hali yake ya uchumi ipoje?
maisha ya kawaida ana kazi? awe ana kazi au hana sio sahihi ,mwanamume kwa maisha hayo hujistukii tu?Maisha ya kawaida tu
mwanaume kuhudumiwa na mwanamke hujisikii vibaya?sio kawaida ila haiko poaMaisha ya kawaida tu
Jomba utakuwa mgeni na wanaume wa darmwanaume kuhudumiwa na mwanamke hujisikii vibaya?sio kawaida ila haiko poa
Jomba utakuwa mgeni na wanaume wa dar
Mwanaume wa Dar anauvumilivu wa ajabu sababu ya njaa
Wanaume mtepetotepeto mke anagongwa na jirani na hajali kabisa Tonge kinywani imeisha iyo
Dar imebaki na wanaume wachache sana
Jomba mimi mwenyewe mpambanajiila mambo 50 kwa 50 imekuja kuleta ushindani mkubwa sana kwenye ajira,wapo ambao wanapenda kulelewa lakini wapo wanaume wanaohangaika usiku na mchana ili familia ikae sawa lakini unakuta mfumo unamkataa halafu mke wake anapata kazi kirahisi je unategemea huyu mwanamke kumheshimu mume wake?so tusibeze hustle za wanaume wapo wanaopamba lakini ndiyo hivyo tena
Achana na shemeji YAKO katafute kwako.Wakuu Salam Nina swali langu hapa nahitaji majibu kutoka kwenu
Unakuta mwanaume yupo na ana nguvu zake si kwamba labda amezeeka
Cha ajabu unakuta nyumba inaendeshwa na mwanamke
Yaani mwanamke ndo anapanga Leo tule Nini na kwa muda gani
Siyo hivyo tu kwenye mambo yanayohitaji maamuzi unakuta mwanamke ndo mwenye kauli ya mwisho
Nimekua nikisikia kitu kinaitwa limbwata
100% mchawi yuko hapa, mianaume mingine mivivu ya kuhangaika, unakuta Mke ndiye anahangaikia kila kituHuyo mwanume hali yake ya uchumi ipoje?
Baba ndio kichwa cha familia.. Ukiona hiyo hali ipo jua kashindwa kazi na mama kaamua kuchukua hatamuWakuu Salam Nina swali langu hapa nahitaji majibu kutoka kwenu
Unakuta mwanaume yupo na ana nguvu zake si kwamba labda amezeeka
Cha ajabu unakuta nyumba inaendeshwa na mwanamke
Yaani mwanamke ndo anapanga Leo tule Nini na kwa muda gani
Siyo hivyo tu kwenye mambo yanayohitaji maamuzi unakuta mwanamke ndo mwenye kauli ya mwisho
Nimekua nikisikia kitu kinaitwa limbwata