Familia moja yapoteza watu 5 waliokufa uwanja Uhuru, kamanda Mambosasa kutoa taarifa Jumanne

Familia moja yapoteza watu 5 waliokufa uwanja Uhuru, kamanda Mambosasa kutoa taarifa Jumanne

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Familia moja inayoishi eneo la Kimara imepoteza watu 5 yaani mama na watoto wake wanne waliokufa kwa kukanyagwa uwanja wa uhuru wakati wa kumuaga hayati Magufuli

Kamanda Mambosasa wa kanda maalumu ya Dar es salaam amesema atatoa taarifa kamili ya yaliyojiri kama kuna vifo na majeruhi siku ya Jumanne.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!

PIA SOMA>> Tetesi: - Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu wapoteza maisha kutoka na msongamano
 
Nchi yetu hii ina wajinga wengi sana!! Watu kama hawa hata kuwapa pole ni aibu kwa mwenyezi Mungu!!

Uncivilized nation!! Ndiyo maana tunatawaliwa watakavyo maana hata haki zetu za kikatiba hatuzijui maskini.
 
CCM watatumia hii kama propaganda ya kupendwa kwa MAREHEMU. Usishangae UVCCM wakajikusanya kupeleka sabuni, unga, mchele kwa familia husika (Mume, Mama wa Marehemu).
 
Viongozi Wapo
RC Yupo
DC Yupo
Mambosasa Yupo
 
Back
Top Bottom