Familia moja yapoteza watu 5 waliokufa uwanja Uhuru, kamanda Mambosasa kutoa taarifa Jumanne

Familia moja yapoteza watu 5 waliokufa uwanja Uhuru, kamanda Mambosasa kutoa taarifa Jumanne

Ndiyo nakwambia.....ukifanya dhambi ndani ya zile amri 10 za Mussa kwa kufurahia sababu tu una madaraka hiyo ni laana tena inakwenda hadi kizazi cha nne.
Marehemu alitesa na aliua wengi. Ben Saanane; Azory mpo wapi - Mungu awarehemu!!
Haya matakataka hii comment yako yataipita kama hayaioni mkuu. Mijitu mingine sijui ikoje.... [emoji848] [emoji848] [emoji848]
 
Bila wao kujua mkusanyiko walipojikusanya yatatokea yaliyotokea ni kuwaombea wapumzike kwa amani tu,

mnaojifanya mna akili sana nyie mtakufa kifo cha kijinga sana kwa kuwa ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tatizo sio kufa,kufa tutakufa lakini hakukua na mantiki ya kwenda na watoto wadogo,ni muhimu kuepuka vitu vinavyoepukika
 
Nchi yetu hii ina wajinga wengi sana!! Watu kama hawa hata kuwapa pole ni aibu kwa mwenyezi Mungu!!

Uncivilized nation!! Ndiyo maana tunatawaliwa watakavyo maana hata haki zetu za kikatiba hatuzijui maskini.
Utaambiwa hauna uzalendo ndugu.
Tumezoea kugombea kila kitu.
Kukanyaga mafuta tunakanyagana na kufa.
Manchi ya watu mabeberu foleni yoyote inaheshimiwa, sisi kuchomekea na kwenda wote mbele tunajiona wajanja na kuona wanaoheshimu foleni washamba.
Ni aibu! MUNGU atusamehe, R.I.P

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mkuu tatizo sio kufa,kufa tutakufa lakini hakukua na mantiki ya kwenda na watoto wadogo,ni muhimu kuepuka vitu vinavyoepukika
Kwakawaida hata mechi ya Simba na Yanga, huwa hatubebi watoto, ila wanawake akili zao Mungu anazielewa.
Ukute waliaga wanawahi kanisani.

Everyday is Saturday.............................😎
 
Riot crush kwa msongamano wa uliokuwepo lilikua ni jambo la lazima hivyo tahadhari ilihitajika lakini binafsi kuwabeba watoto wadogo haikua sawa kabisa,Mimi nilitazama mtu anaaga anaanguka anamwacha mtoto anabebwa na wale askari so sad Nina uhakika watoto wamepotea Sana Jana,kuumia tumeumia sote lakini hatukua na Sababu ya kuongeza hatari kwa kitu kinachoweza kuepukwa
 
Kwakawaida hata mechi ya Simba na Yanga, huwa hatubebi watoto, ila wanawake akili zao Mungu anazielewa.
Ukute waliaga wanawahi kanisani.

Everyday is Saturday.............................😎
Nimesikitika Sana Mkuu,Mungu awasaidie hawa Mama zetu kujaribu kufikiria jambo kwa jicho la tatu,pale ukianguka hunyanyuki watu watafanya stampeding mpaka unakufa
 
Tukipata Katiba mpya ambayo itaondoa umungu mtu wa Raisi,Raisi atakuwa mtu wa kawaida Taasisi ndio zitakuwa zenye nguvu

Vitu kama hivi havitatokea tena UMUNGUFULI unakuwa hakuna
Mtalaumu hata ambapo hapastahili kwa sababu ya husuda zenu.Come down to your senses.
 
Back
Top Bottom