Familia moja yapoteza watu 5 waliokufa uwanja Uhuru, kamanda Mambosasa kutoa taarifa Jumanne

Familia moja yapoteza watu 5 waliokufa uwanja Uhuru, kamanda Mambosasa kutoa taarifa Jumanne

Walitumwa wangekaa nyumbani yasingewapata.
Usiwachukulie watu powa. Wapo ambao kwa maisha wanayoishi Magufuli alikua sio rais.., alikua baba.
Sasa subiri ufe wewe halafu wanao wasiumie wala kuja kukuaga
 
kulikua na haja gani ya kubeba watoto wa4 kwenda nao uhuru? Nadhani funzo litakua limepatikana wakati ujao umakini utakuwepo
 
Wapumzike kwa amani marehemu wote
Pole sana kwa ndugu, familia na wote walioguswa na misiba hii
Kwenye mkusanyiko kama mkubwa kama hiyo vifo hutokea maana utawazuia watu wangapi

Ova
 
Usiwachukulie watu powa. Wapo ambao kwa maisha wanayoishi Magufuli alikua sio rais.., alikua baba.
Sasa subiri ufe wewe halafu wanao wasiumie wala kuja kukuaga
Watakua wanaenjoy maisha na baba yao mawinguni. Nadhani yeye ndo kiranja mkuu wa malaika huko
 
Usiwachukulie watu powa. Wapo ambao kwa maisha wanayoishi Magufuli alikua sio rais.., alikua baba.
Sasa subiri ufe wewe halafu wanao wasiumie wala kuja kukuaga
Kwani kulikuwa na ulazima wa kwenda?
 
Nchi yetu hii ina wajinga wengi sana!! Watu kama hawa hata kuwapa pole ni aibu kwa mwenyezi Mungu!!

Uncivilized nation!! Ndiyo maana tunatawaliwa watakavyo maana hata haki zetu za kikatiba hatuzijui maskini.
Bila wao kujua mkusanyiko walipojikusanya yatatokea yaliyotokea ni kuwaombea wapumzike kwa amani tu,

mnaojifanya mna akili sana nyie mtakufa kifo cha kijinga sana kwa kuwa ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakua wanaenjoy maisha na baba yao mawinguni. Nadhani yeye ndo kiranja mkuu wa malaika huko

Unasikia wivu eeee
Vumilia tuu Mungu atakuchukua akikuhitaji inshallah!
 
Familia moja inayoishi eneo la Kimara imepoteza watu 5 yaani mama na watoto wake wanne waliokufa kwa kukanyagwa uwanja wa uhuru wakati wa kumuaga hayati Magufuli

Kamanda Mambosasa wa kanda maalumu ya Dar es salaam amesema atotoa taarifa kamili ya yaliyojiri kama kuna vifo na majeruhi siku ya Jumanne.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Jamani ni watu wngi wamekufa. Ni zaidi ya 50. Hawa kina Mambosasa wanaweza kuficha kwani wengine wameshachukuwa ndugu zao leo.
 
Hilo swali utawauliza wanao wasipokuja kukuzika
Kama wameshindwa kujifunza kwa upinzani, wakati polisi wakiwaaminisha raia kuwa wanzao viongozi wa upinzani wapo nyumbani?, Basi raia watakuwa wameamini kwa sababu ni CCM hatuwezi kufa wakati viongozi wa CCM wapo kwenye magari na maji yako mkononi.

Polisi wametumika sana kwenye matukio ya upinzani kuwaaminisha raia wakae nyumbani kwasababu hali ya kiusalama ni ndogo sasa mimi na polisi si tupo sawa!!!

Attachments

  • AlabasMziwanda_20210321_1.mp4
    1.2 MB
Hii ndio familia yenyewe,huyo wa nyuma mwenye rasta pona yake hakuwepo yupo shule boarding
FB_IMG_16164048381878310.jpg
 
Familia moja inayoishi eneo la Kimara imepoteza watu 5 yaani mama na watoto wake wanne waliokufa kwa kukanyagwa uwanja wa uhuru wakati wa kumuaga hayati Magufuli

Kamanda Mambosasa wa kanda maalumu ya Dar es salaam amesema atotoa taarifa kamili ya yaliyojiri kama kuna vifo na majeruhi siku ya Jumanne.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Zuhura yunus wa bbc kesha mwanga story nzima nimesikitishwa sana
Wanawake ni mama zetu,wake zetu mnatulea kweli tunawaheshimu lakini tatizo lenu wengi wenu ni uzembe na kutofikiria mbele ya jambo .....hii nimeona uzoefu na binafsi nimekuwa nikimuonya mara nyingi mke wangu ktk maamuzi mbalimbali ambayo hutaka kuyafanya na kumzuia baada ya kuhisi hatari zinazoweza tokea....wanawake asilimia kubwa hupenda safari na kubebelea watoto hata 7 ahangaike nao barabarani!
Wanaume tuwe makini sana na akina mama na maamuzi yao hatarishi.
 
Na bado wanamtafuta Binti mmoja wa familia hiyo hiyo ambaye hajaonekana mpaka hivi sasa,nae alikuwepo kwenye huo mkasa.
JamiiForums1644287941.jpg
 
Nchi yetu hii ina wajinga wengi sana!! Watu kama hawa hata kuwapa pole ni aibu kwa mwenyezi Mungu!!

Uncivilized nation!! Ndiyo maana tunatawaliwa watakavyo maana hata haki zetu za kikatiba hatuzijui maskini.
Tupo kama mikondoo yani MTU na akili yake kabisa anasukumizana na watoto kwenda kuangalia mwili wa MTU aliyekufa-huo sio ujinga ni utahira kabisa.
 
Back
Top Bottom