johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Maendeleo hayana chama lipewe hati milikiHabari ya kusikitisha na Maendeleo yasiyo na chama vyahusiana vipi?
Waliofariki kwa ujumla wake ni 43.Kwa hiyo waliokufa ni hao tu watano wa familia moja?
Walitumwa wangekaa nyumbani yasingewapata.Wapumzike kwa amani marehemu wote
Pole sana kwa ndugu, familia na wote walioguswa na misiba hii