Usiwachukulie watu powa. Wapo ambao kwa maisha wanayoishi Magufuli alikua sio rais.., alikua baba.Walitumwa wangekaa nyumbani yasingewapata.
Kwenye mkusanyiko kama mkubwa kama hiyo vifo hutokea maana utawazuia watu wangapiWapumzike kwa amani marehemu wote
Pole sana kwa ndugu, familia na wote walioguswa na misiba hii
Watakua wanaenjoy maisha na baba yao mawinguni. Nadhani yeye ndo kiranja mkuu wa malaika hukoUsiwachukulie watu powa. Wapo ambao kwa maisha wanayoishi Magufuli alikua sio rais.., alikua baba.
Sasa subiri ufe wewe halafu wanao wasiumie wala kuja kukuaga
Kwani kulikuwa na ulazima wa kwenda?Usiwachukulie watu powa. Wapo ambao kwa maisha wanayoishi Magufuli alikua sio rais.., alikua baba.
Sasa subiri ufe wewe halafu wanao wasiumie wala kuja kukuaga
Tulikuwa tunafanya uhakiki Kama ni kweli?Ni vile tu mtu akiisha kufa husitiriwa lakini kwa kweli sikuona sababu ya maana mno ya watu kuhudhuria kuagwa kwa magufuli kiasi like mpaka kupelekea kufa kwa watu!
Ni uzembe na ujinga na upumbavu!
Hilo swali utawauliza wanao wasipokuja kukuzikaKwani kulikuwa na ulazima wa kwenda?
Bila wao kujua mkusanyiko walipojikusanya yatatokea yaliyotokea ni kuwaombea wapumzike kwa amani tu,Nchi yetu hii ina wajinga wengi sana!! Watu kama hawa hata kuwapa pole ni aibu kwa mwenyezi Mungu!!
Uncivilized nation!! Ndiyo maana tunatawaliwa watakavyo maana hata haki zetu za kikatiba hatuzijui maskini.
Watakua wanaenjoy maisha na baba yao mawinguni. Nadhani yeye ndo kiranja mkuu wa malaika huko
Msiba wa yule kiongozi wa Iran qassam suleiman walikufa watu zaidi ya 70Kwani kulikuwa na ulazima wa kwenda?
Jamani ni watu wngi wamekufa. Ni zaidi ya 50. Hawa kina Mambosasa wanaweza kuficha kwani wengine wameshachukuwa ndugu zao leo.Familia moja inayoishi eneo la Kimara imepoteza watu 5 yaani mama na watoto wake wanne waliokufa kwa kukanyagwa uwanja wa uhuru wakati wa kumuaga hayati Magufuli
Kamanda Mambosasa wa kanda maalumu ya Dar es salaam amesema atotoa taarifa kamili ya yaliyojiri kama kuna vifo na majeruhi siku ya Jumanne.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kama wameshindwa kujifunza kwa upinzani, wakati polisi wakiwaaminisha raia kuwa wanzao viongozi wa upinzani wapo nyumbani?, Basi raia watakuwa wameamini kwa sababu ni CCM hatuwezi kufa wakati viongozi wa CCM wapo kwenye magari na maji yako mkononi.Hilo swali utawauliza wanao wasipokuja kukuzika
Nao ni wajinga au unadhani ujinga unamipakaMsiba wa yule kiongozi wa Iran qassam suleiman walikufa watu zaidi ya 70
Ova
Zuhura yunus wa bbc kesha mwanga story nzima nimesikitishwa sanaFamilia moja inayoishi eneo la Kimara imepoteza watu 5 yaani mama na watoto wake wanne waliokufa kwa kukanyagwa uwanja wa uhuru wakati wa kumuaga hayati Magufuli
Kamanda Mambosasa wa kanda maalumu ya Dar es salaam amesema atotoa taarifa kamili ya yaliyojiri kama kuna vifo na majeruhi siku ya Jumanne.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Tupo kama mikondoo yani MTU na akili yake kabisa anasukumizana na watoto kwenda kuangalia mwili wa MTU aliyekufa-huo sio ujinga ni utahira kabisa.Nchi yetu hii ina wajinga wengi sana!! Watu kama hawa hata kuwapa pole ni aibu kwa mwenyezi Mungu!!
Uncivilized nation!! Ndiyo maana tunatawaliwa watakavyo maana hata haki zetu za kikatiba hatuzijui maskini.
Haya sasa wameenda kutoa heshima wamejifia humo kweli kosa hamna.