Mama, watoto wa kuzaa yeye watatu na watoto wa wifi wawili na mjakazi, walitumia gari ya home. Baba hakwenda. That woman ana asili ya huko kwa aliyepisha azana. Was also employed here tz.watu wa5 wote walitoka nyumbani wakapanda daladala kwenda kumuaga marehemu ? iyo familia ina matatizo
So ni watu saba? I see.... Inasikitisha sana.Mama, watoto wa kuzaa yeye watatu na watoto wa wifi wawili na mjakazi, walitumia gari ya home. Baba hakwenda. That woman ana asili ya huko kwa aliyepisha azana. Was also employed here tz.
Mjakazi alikuwa bado kupatikana
So bad, rest well good souls.
Walipenda sifa sasa wanapata dhifaPamoja na makosa ya serikali ya poor arrangements..
Hivi watu walienda na watoto kufanya nini??
Au ndo upumbavu wa halaiki tuliokuwa nao?
Walioenda na watoto na walioruhusu watoto kuingia wote Wana share lawama..
46Wanapoomboleza msiba wa rais wakumbuke kuna watu wamefariki katoka maombolezo hayo.
Hadi sasa tunasikia tu wanafamiloa warano na msaidizi wa kazi; je idadi kamili ni ngapi?
Hawa nao ni watu
Naomba chanzo cha hii taarifa/takwimu tafadhali
Serikali haikwepi lawama Bwashee! Kwanza kwa kumbukumbu zangu, nadhani hili ni tukio la kwanza.Pamoja na makosa ya serikali ya poor arrangements..
Hivi watu walienda na watoto kufanya nini??
Au ndo upumbavu wa halaiki tuliokuwa nao?
Walioenda na watoto na walioruhusu watoto kuingia wote Wana share lawama..