Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Mama, watoto wa kuzaa yeye watatu na watoto wa wifi wawili na mjakazi, walitumia gari ya home. Baba hakwenda. That woman ana asili ya huko kwa aliyepisha azana. Was also employed here tz.watu wa5 wote walitoka nyumbani wakapanda daladala kwenda kumuaga marehemu ? iyo familia ina matatizo
Mjakazi alikuwa bado kupatikana
So bad, rest well good souls.