Familia moja yapoteza watu 5 waliokufa uwanja Uhuru, kamanda Mambosasa kutoa taarifa Jumanne

Familia moja yapoteza watu 5 waliokufa uwanja Uhuru, kamanda Mambosasa kutoa taarifa Jumanne

watu wa5 wote walitoka nyumbani wakapanda daladala kwenda kumuaga marehemu ? iyo familia ina matatizo
Mama, watoto wa kuzaa yeye watatu na watoto wa wifi wawili na mjakazi, walitumia gari ya home. Baba hakwenda. That woman ana asili ya huko kwa aliyepisha azana. Was also employed here tz.

Mjakazi alikuwa bado kupatikana

So bad, rest well good souls.
 
So ni watu saba? I see.... Inasikitisha sana.
 
Wanapoomboleza msiba wa rais wakumbuke kuna watu wamefariki katoka maombolezo hayo.

Hadi sasa tunasikia tu wanafamiloa warano na msaidizi wa kazi; je idadi kamili ni ngapi?

Hawa nao ni watu
 
Pamoja na makosa ya serikali ya poor arrangements..

Hivi watu walienda na watoto kufanya nini??

Au ndo upumbavu wa halaiki tuliokuwa nao?

Walioenda na watoto na walioruhusu watoto kuingia wote Wana share lawama..
Walipenda sifa sasa wanapata dhifa
 
Wanapoomboleza msiba wa rais wakumbuke kuna watu wamefariki katoka maombolezo hayo.

Hadi sasa tunasikia tu wanafamiloa warano na msaidizi wa kazi; je idadi kamili ni ngapi?

Hawa nao ni watu
46
 
Pamoja na makosa ya serikali ya poor arrangements..

Hivi watu walienda na watoto kufanya nini??

Au ndo upumbavu wa halaiki tuliokuwa nao?

Walioenda na watoto na walioruhusu watoto kuingia wote Wana share lawama..
Serikali haikwepi lawama Bwashee! Kwanza kwa kumbukumbu zangu, nadhani hili ni tukio la kwanza.
Miaka yote tulizoea kuona makundi ya watu wachache tu yakituwakilisha kumuaga marehemu, huku wananchi tulio wengi tukishuhudia tukio hilo kupitia luninga au kwa kusikiliza kupitia redio.

Ila safari hii watu walihamasishwa kujitokeza kwa wingi! Sasa unategemea nini kwa watanzania wengi wasio na ajira? Ni lazima wangejitokeza. Anyway, hili tukio litakuwa ni funzo kwa siku za baadae.
 
Kamati ya mazishi walichemka sana Dar es salaam.

Ila Zanzibar kamati ilikuwa makini sana!
 
Back
Top Bottom