Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Maisha hayajawahi kua marahisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro maisha siyo rahis,. Bali nazani uliweka makisio ya kufanikiwa haraka pasipo na uhalisia. Maisha Kila mara hayaposawa. Kikubwa ni kuridhika na Hali ilivyo lakini pia BILA kukata tamaa.Picha ilianza na Mimi. Nilibahatika ya kufaulu na kwenda shule nzuri tu ya sekondari ambako pia nilifauli kwenda masomo ya juu. Nikiwa nimekomaa na masomo ya biashara, ndoto kuu ilikuwa kuja kuwa mfanyakazi wa taasisi flani za kifedha.
Tena huko zinakotokea. Leo hii ni mwalimu ninayefundisha Jiografia na Kiingereza, mwaka zaidi ya wa 10 kazini, hakuna gari hakuna nyumba hakuna heshima nyumbani.
Ndugu yangu, akiwa ameyashika vizuri masomo ya Sayansi hadi kidato cha tano na kuwa na ndoto lukuki za kuwa daktari. Ghafla bin vuu nae Sasa huu mwaka wa 5 anasotea kazi tu ya ualimu bila mafanikio. Ni ualimu wa shule ya msingi nauzungumzia ndugu wanaJF
Ndugu mwingine baada ya kufika kidato cha nne alikuwa na ndoto ya kuwa askari. Sasa hivi anakesi mahakamani baada ya kumgonga mtu akiwa katika shughuli zake za bodaboda.
Dada zangu wote wapo nyumbani, shuleni hata somo la kirai kwao halikupanda. Wapo tu nyumbani wanachoma mkaa.
Binti yangu, nikiwa nimejaribu kuweka nguvu nyingi sana na kwa muda mrefu Kwakweli Ili asome, tena masomo haya ya sayansi (kutokana na uelekeo wa Dunia kwa Sasa); hajui hata 1 + 1 jibu ni ngapi, hajui Archimedes principle Wala Newtown's 1st law of motion.
Nikiwa mfariji na mtegemewa mkuu wa familia yetu hii, najihisi kuchanganyikiwa. Wanaotegemea pia nao wanachanganyikiwa siku baada ya siku. Tuko vururu vururu, hakuna ndoto tena.
Tukubali hali yetu.Hatuna katika jamii viongozi wa umma au taasisi za umma sahihi za kutegemea kwa majukumu haya.Kwa hiyo tujipange katika vikundi vidogo au ,kampuni tuweze kuchangiana kupata mitaji ya kuanzisha shughuli zetu za ushirika wa kazi za kuinua uchumi wetu.Kulingana na utamaduni wetu tuna uwezo wa kuwapa vijana wetu urithi wa kazi hizo na wataziendeleza kwa masomo ya kuendeleza kazi hizo.Hayo ni maoni yangu kwa sasa.Pili,vijana waelekezwe katika maadili ya dini za wazazi wao ili wapate msaada wa Mungu katika maisha yao ya usafi,baraka na uzima hata milele.Picha ilianza na Mimi. Nilibahatika ya kufaulu na kwenda shule nzuri tu ya sekondari ambako pia nilifauli kwenda masomo ya juu. Nikiwa nimekomaa na masomo ya biashara, ndoto kuu ilikuwa kuja kuwa mfanyakazi wa taasisi flani za kifedha.
Tena huko zinakotokea. Leo hii ni mwalimu ninayefundisha Jiografia na Kiingereza, mwaka zaidi ya wa 10 kazini, hakuna gari hakuna nyumba hakuna heshima nyumbani.
Ndugu yangu, akiwa ameyashika vizuri masomo ya Sayansi hadi kidato cha tano na kuwa na ndoto lukuki za kuwa daktari. Ghafla bin vuu nae Sasa huu mwaka wa 5 anasotea kazi tu ya ualimu bila mafanikio. Ni ualimu wa shule ya msingi nauzungumzia ndugu wanaJF
Ndugu mwingine baada ya kufika kidato cha nne alikuwa na ndoto ya kuwa askari. Sasa hivi anakesi mahakamani baada ya kumgonga mtu akiwa katika shughuli zake za bodaboda.
Dada zangu wote wapo nyumbani, shuleni hata somo la kirai kwao halikupanda. Wapo tu nyumbani wanachoma mkaa.
Binti yangu, nikiwa nimejaribu kuweka nguvu nyingi sana na kwa muda mrefu Kwakweli Ili asome, tena masomo haya ya sayansi (kutokana na uelekeo wa Dunia kwa Sasa); hajui hata 1 + 1 jibu ni ngapi, hajui Archimedes principle Wala Newtown's 1st law of motion.
Nikiwa mfariji na mtegemewa mkuu wa familia yetu hii, najihisi kuchanganyikiwa. Wanaotegemea pia nao wanachanganyikiwa siku baada ya siku. Tuko vururu vururu, hakuna ndoto tena.
Yeah,First of all mimi huwa siamini ktk kitu kinachoitwa “ndoto yangu/yetu ya maisha”,hiki kitu kinawapotezea sana watu muda ningeshauri hata madogo mitaani wasiwe wanaaminishwa hiki kitu waache maisha yaende yatakavyotaka wa kuwa doctor atakuwa wa kuwa mwalimu sijui muhasibu atakuwa alimradi wasizuie wigo wao wa kuwaza nje ya kile wanachokitamani.
Ule muda mwenye maisha yake anawaza namna ya kuitekeleza anayoiita ndoto yake pembeni ya ndoto yake unakuta zinapita fursa ambazo kama siyo kujifunga kwenye wazo lake angezifuata angetoka,maisha siyo ndoto maisha ni reality unatamani kuwa doctor kumbe ukweli wa maisha yako ulikuwa uwe mfanyabiashara kupitia kuajiriwa kwenye duka la mtu.
Kaka Gratitude ndio Siri ya mchezo,huna shukurani,..miaka kumi kazini shukuru,watu wana miaka kumi mtaani na maisha yanaenda,kubali ulipo and make the best of it,
laiti Kama Kila mtu angekua mahala anataka dunia ingekua mchafukoge...
Ushujaa hauji tu kwa kusimama imara..
""Unaweza ukuzaliwa nyanda na ukachezeshwa BEKI"" QUOTED FROM DARASA CMB_ SIKATI TAMAAPicha ilianza na Mimi. Nilibahatika ya kufaulu na kwenda shule nzuri tu ya sekondari ambako pia nilifauli kwenda masomo ya juu. Nikiwa nimekomaa na masomo ya biashara, ndoto kuu ilikuwa kuja kuwa mfanyakazi wa taasisi flani za kifedha.
Tena huko zinakotokea. Leo hii ni mwalimu ninayefundisha Jiografia na Kiingereza, mwaka zaidi ya wa 10 kazini, hakuna gari hakuna nyumba hakuna heshima nyumbani.
Ndugu yangu, akiwa ameyashika vizuri masomo ya Sayansi hadi kidato cha tano na kuwa na ndoto lukuki za kuwa daktari. Ghafla bin vuu nae Sasa huu mwaka wa 5 anasotea kazi tu ya ualimu bila mafanikio. Ni ualimu wa shule ya msingi nauzungumzia ndugu wanaJF
Ndugu mwingine baada ya kufika kidato cha nne alikuwa na ndoto ya kuwa askari. Sasa hivi anakesi mahakamani baada ya kumgonga mtu akiwa katika shughuli zake za bodaboda.
Dada zangu wote wapo nyumbani, shuleni hata somo la kirai kwao halikupanda. Wapo tu nyumbani wanachoma mkaa.
Binti yangu, nikiwa nimejaribu kuweka nguvu nyingi sana na kwa muda mrefu Kwakweli Ili asome, tena masomo haya ya sayansi (kutokana na uelekeo wa Dunia kwa Sasa); hajui hata 1 + 1 jibu ni ngapi, hajui Archimedes principle Wala Newtown's 1st law of motion.
Nikiwa mfariji na mtegemewa mkuu wa familia yetu hii, najihisi kuchanganyikiwa. Wanaotegemea pia nao wanachanganyikiwa siku baada ya siku. Tuko vururu vururu, hakuna ndoto tena.
Mkuu fanya vitu ndani ya uwezo wako,Leo hii wajinga ndo wenye pesa pamoja na maxhawa,dunia Iko hostile mnoPicha ilianza na Mimi. Nilibahatika ya kufaulu na kwenda shule nzuri tu ya sekondari ambako pia nilifauli kwenda masomo ya juu. Nikiwa nimekomaa na masomo ya biashara, ndoto kuu ilikuwa kuja kuwa mfanyakazi wa taasisi flani za kifedha.
Tena huko zinakotokea. Leo hii ni mwalimu ninayefundisha Jiografia na Kiingereza, mwaka zaidi ya wa 10 kazini, hakuna gari hakuna nyumba hakuna heshima nyumbani.
Ndugu yangu, akiwa ameyashika vizuri masomo ya Sayansi hadi kidato cha tano na kuwa na ndoto lukuki za kuwa daktari. Ghafla bin vuu nae Sasa huu mwaka wa 5 anasotea kazi tu ya ualimu bila mafanikio. Ni ualimu wa shule ya msingi nauzungumzia ndugu wanaJF
Ndugu mwingine baada ya kufika kidato cha nne alikuwa na ndoto ya kuwa askari. Sasa hivi anakesi mahakamani baada ya kumgonga mtu akiwa katika shughuli zake za bodaboda.
Dada zangu wote wapo nyumbani, shuleni hata somo la kirai kwao halikupanda. Wapo tu nyumbani wanachoma mkaa.
Binti yangu, nikiwa nimejaribu kuweka nguvu nyingi sana na kwa muda mrefu Kwakweli Ili asome, tena masomo haya ya sayansi (kutokana na uelekeo wa Dunia kwa Sasa); hajui hata 1 + 1 jibu ni ngapi, hajui Archimedes principle Wala Newtown's 1st law of motion.
Nikiwa mfariji na mtegemewa mkuu wa familia yetu hii, najihisi kuchanganyikiwa. Wanaotegemea pia nao wanachanganyikiwa siku baada ya siku. Tuko vururu vururu, hakuna ndoto tena.
Kwaio mkuu tusiwe na LONG TERM AU SHORT TERM PLANTatizo mnaishi kwa expectations kubwa kuzidi uhalisia.
Kwenye early age mtu anajaribu vitu lakini resources ziko kidogoFirst of all mimi huwa siamini ktk kitu kinachoitwa “ndoto yangu/yetu ya maisha”,hiki kitu kinawapotezea sana watu muda ningeshauri hata madogo mitaani wasiwe wanaaminishwa hiki kitu waache maisha yaende yatakavyotaka wa kuwa doctor atakuwa wa kuwa mwalimu sijui muhasibu atakuwa alimradi wasizuie wigo wao wa kuwaza nje ya kile wanachokitamani.
Ule muda mwenye maisha yake anawaza namna ya kuitekeleza anayoiita ndoto yake pembeni ya ndoto yake unakuta zinapita fursa ambazo kama siyo kujifunga kwenye wazo lake angezifuata angetoka,maisha siyo ndoto maisha ni reality unatamani kuwa doctor kumbe ukweli wa maisha yako ulikuwa uwe mfanyabiashara kupitia kuajiriwa kwenye duka la mtu.
LTP au STP ziwepo ila zisipewe expectations kubwa sana.Kwaio mkuu tusiwe na LONG TERM AU SHORT TERM PLAN
Tujiishie tuu Kama waishivyo watu wengi weusi..
Najarib TU kuweka chachu kwenye Hoja.
Ila haya maisha daah.Hii ni advanced marginalised.. nyinyi ni watu wa kabila gani?. Nyie ndo familia zetu hizi ukitaka kufanya maendeleo husein mana husda iko juu sana. Ukienda mjini huagi.. madada wakirukaruka mpaka age ya 22 wana katoto hakana baba.
Hauko peke yako
True ,LTP au STP ziwepo ila zisipewe expectations kubwa sana.
Yeah exactlyTrue ,
Maana too expectations kills
Shukuru Mungu hata kwa hiko kidogo, Muda wako wa kumiliki nyumba, gari ukifika utavipata tuu.Kila mtu na muda wakePicha ilianza na Mimi. Nilibahatika ya kufaulu na kwenda shule nzuri tu ya sekondari ambako pia nilifauli kwenda masomo ya juu. Nikiwa nimekomaa na masomo ya biashara, ndoto kuu ilikuwa kuja kuwa mfanyakazi wa taasisi flani za kifedha.