Familia nzima tumefeli kila ndoto imegeuka alinacha, hatuna muelekeo kabisa

Familia nzima tumefeli kila ndoto imegeuka alinacha, hatuna muelekeo kabisa

Mkuu pole kwa changamoto, badili mawazo yako, hayo mawazo unayojiwazia yanazidi kuattract hali unayopitia.......

Jiangalie kwa upande wako mzuri pia Mungu aliokupa, shukuru kwa kazi ulionayo kuna wengine wamesoma hata hiyo kazi tu hawana. Shukuru

Jiwazie positive, amka, panga, chukua hatua.
 
Yaani kawa chizi(mweu) au?
Abnormality yani psychosis.. anaweza kukusimulia kila kitu yani hata kile hakihusian na mada. Yni kapoteza conscious kabisa na anatembea kwa mguu balaa.. amepitia kuteswa toka mdogo n mzazi wake alivyokuwa na kumechanganyika na stres za ajira. Itachukua muda sana kuwa kawaida au kushindikana kabisa
 
Bado mnanafasi ya Kupambana ndugu yangu,Mungu atawabariki kwa wakati wake amini.Cha msingi ni kufuta nafasi ya kutengeneza wategemezi zaidi.

Msizae watoto wengi,adoado tu mambo yataenda
 
Poleni..
Mi nawashauri muelekeze jitihada kwenye mambo mnayoyaweza.

Naona kama familia yenu mnakazania elimu lakini uwezo wenu darasani si wa kuwawezesha kutoboa huko.
 
Back
Top Bottom