Familia nzima tumefeli kila ndoto imegeuka alinacha, hatuna muelekeo kabisa

Bro maisha siyo rahis,. Bali nazani uliweka makisio ya kufanikiwa haraka pasipo na uhalisia. Maisha Kila mara hayaposawa. Kikubwa ni kuridhika na Hali ilivyo lakini pia BILA kukata tamaa.
Kuna watu wengi wanamaisha kama Yako au chini ya hapo lakini wanaishi. Ukitaka kuwa na amani kuhusu kipato basi angalia wa chini Yako Kisha utamshukuru mwenyezimungu Kwa ulichonacho
 
Tukubali hali yetu.Hatuna katika jamii viongozi wa umma au taasisi za umma sahihi za kutegemea kwa majukumu haya.Kwa hiyo tujipange katika vikundi vidogo au ,kampuni tuweze kuchangiana kupata mitaji ya kuanzisha shughuli zetu za ushirika wa kazi za kuinua uchumi wetu.Kulingana na utamaduni wetu tuna uwezo wa kuwapa vijana wetu urithi wa kazi hizo na wataziendeleza kwa masomo ya kuendeleza kazi hizo.Hayo ni maoni yangu kwa sasa.Pili,vijana waelekezwe katika maadili ya dini za wazazi wao ili wapate msaada wa Mungu katika maisha yao ya usafi,baraka na uzima hata milele.
 
Kaka Gratitude ndio Siri ya mchezo,huna shukurani,..miaka kumi kazini shukuru,watu wana miaka kumi mtaani na maisha yanaenda,kubali ulipo and make the best of it,

laiti Kama Kila mtu angekua mahala anataka dunia ingekua mchafukoge...

Ushujaa hauji tu kwa kusimama imara..
 
Yeah,
nature iamue.
 
Atafute biashara ya kutanua wigo wa kipato chake. Kuna watu mwaka wa 10 wanapambna wawepo alipo yeye
 
sasa hapo tatizo lipo wap..., mbona familia iko poa....
 
""Unaweza ukuzaliwa nyanda na ukachezeshwa BEKI"" QUOTED FROM DARASA CMB_ SIKATI TAMAA
 
Mkuu fanya vitu ndani ya uwezo wako,Leo hii wajinga ndo wenye pesa pamoja na maxhawa,dunia Iko hostile mno
 
Kwenye early age mtu anajaribu vitu lakini resources ziko kidogo
 
Shukuru Mungu hata kwa hiko kidogo, Muda wako wa kumiliki nyumba, gari ukifika utavipata tuu.Kila mtu na muda wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…