Familia nzima yawa Watawa

Familia nzima yawa Watawa

Lakini hao wazee hapo hawakosi wajukuu piga ua kizazi kitaendelea tu.
ni kwa hao wanaume ndio wataweza kuleta wajukuu kwa siri ila hao wanawake ni ngumu kuzaa kwa siri kwa sababu watabeba mimba na kuonekana ni wajawazito, watafukuzwa utawa kwa kukiuka viapo vyao vya kuwa watawa
 
Back
Top Bottom