Familia sita zavamiwa, wanne wajeruhiwa kwa mapanga Dar

Kingai aaminiki. Toka ile kesi na ushahidi wake wa uongo hafai.
 
Kingai kweli kaah, anajibu kirahisi tu, msizue hofu, wakati watu wamekatwa mapanga? Eehh
 
Hao watu zaidi ya 10 ni panyaroad, watafutwe...
 
Kama Serikali ilivyo ndivyo watu wake walivyo.
Mnaona wanashtuka ?
 

 
Ndo kazi yake hiyo imetengenezwa kwa ajili hiyo lakini anayeua sio bastola Ni mtu
Shida ukiwa na bastola uvamiwi sababu mwizi ni shetani kupitia roho ya shetani iliyomo ndani mwao uwapa machale.
Ukitaka kuthibitisha hili tembea na bastola usiku Ili kuua vibaka,utokutana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…