Familia sita zavamiwa, wanne wajeruhiwa kwa mapanga Dar

Familia sita zavamiwa, wanne wajeruhiwa kwa mapanga Dar

😂😂😂 Hawa wanawadekeza Sana yani ingekua ni mbeya huu upuuz usingekuepo tena,waliokua wanawaua vijana wa bodaboda na kuwapora pikipk zao hili wanalijua namna wenzao walivyo uliwa hadhalani nawao
AISEE
 
Wananchi wenzangu Shime tuwafichuke wahalifu wa aina zote mitaani kwetu ili Polisi wawachukulie hatua.

Wahalifu wafuatao tunaishi nao kwenye mitaa yetu au maeneo yetu;

1. wauzaji wa madawa ya kulevya
2. wavutaji wa bangi.
3. Majambazi.
4. vibaka.
5. wabakaji
n.k

tuwafichue, toa taarifa kwa njia ya siri kwa jeshi la polisi na ninaamini watakamatwa.

binafsi nimetoa taarifa kwa Polisi kuhusu kijiwe cha wavuta bangi ktk eneo letu na kijiwe hicho kimesambaratishwa na hali sasa ni shwari.
sisi wananchi ndio tuna lea uhalifu na wahalifu ktk mitaa au maeneo yetu kwa kushindwa kutoa taairfa.

tupambane na uhalifu kwa kutoa taarifa sahihi kwa Jeshi la Polisi.
tusishabikie uhalifu.
 
Wananchi wenzangu Shime tuwafichuke wahalifu wa aina zote mitaani kwetu ili Polisi wawachukulie hatua.

Wahalifu wafuatao tunaishi nao kwenye mitaa yetu au maeneo yetu;

1. wauzaji wa madawa ya kulevya
2. wavutaji wa bangi.
3. Majambazi.
4. vibaka.
5. wabakaji
n.k

tuwafichue, toa taarifa kwa njia ya siri kwa jeshi la polisi na ninaamini watakamatwa.
vyema kabisa
 
Back
Top Bottom