Familia sita zavamiwa, wanne wajeruhiwa kwa mapanga Dar

Familia sita zavamiwa, wanne wajeruhiwa kwa mapanga Dar

Kuwa na silaha za jadi ndani ya nyumba ni muhimu.
Inategemea unapambana na nani! Kundi la watu tisa halafu utoe silaha ya jadi kupambana ineza kukusababishia umauti ,!
My advise ukiona kundi la watu wengi wamekuvamia wanataka mali ni bora kutopambana , I learned it the hard way.
 
Kweli inategemea na mazingira.
 
Ua tu, hakuna kipya mtu kama anataka kukutoa roho unamhurimia vipi boss?
Kuna pande fulani nliendaga za msakuzi,wakazi huko kila nyumba Ana filimbi,tukio likitokea tu film is ikipigwa basi jua kama we umeenda fanya uhalifu,huchomoki aise

Ova
 
Halaf ukishapiga kelele ndo nani akusaidie? Unawajua watu wa dar ww
Kuna maeneo mengi dar uhalifu ukitokea watu wanajitokeza na wana dhibiti,hadi kuwamaliza
Ukiona eneo linavamiwa basi suala la ulinzi kwao haliko madhubuti

Ova
 
kuna wengine wanakuja na nyundo kubwa, jiwe kubwa wanavunja na mikasi maalumu ya kukatia vyuma
😳😳Kumbe Kuna mikasi ya kukatia vyuma! Kwahiyo hata kama tumejifungia kwenye grill sio kwamba tuko salama ni kwamba hawajaamua tu! Naogopa sana!
 
😳😳Kumbe Kuna mikasi ya kukatia vyuma! Kwahiyo hata kama tumejifungia kwenye grill sio kwamba tuko salama ni kwamba hawajaamua tu! Naogopa sana!
NI KUMUOMBA MUNGU TU ILA HALI NI MBAYA
 
Back
Top Bottom