Inategemea unapambana na nani! Kundi la watu tisa halafu utoe silaha ya jadi kupambana ineza kukusababishia umauti ,!Kuwa na silaha za jadi ndani ya nyumba ni muhimu.
Kweli inategemea na mazingira.Inategemea unapambana na nani! Kundi la watu tisa halafu utoe silaha ya jadi kupambana ineza kukusababishia umauti ,!
My advise ukiona kundi la watu wengi wamekuvamia wanataka mali ni bora kutopambana , I learned it the hard way.
MAJI WANGEITA MMA AU SIOInatakiwa wanachi kushikamana Sana hili lingetokea mfano kule mbeya Hawa vijana wangeshughulikiwa kikamilifu
Kuna pande fulani nliendaga za msakuzi,wakazi huko kila nyumba Ana filimbi,tukio likitokea tu film is ikipigwa basi jua kama we umeenda fanya uhalifu,huchomoki aiseUa tu, hakuna kipya mtu kama anataka kukutoa roho unamhurimia vipi boss?
Watu,wakaz huko wakijiorganisedNi kweli, ila wavamizi wakiwa wengi tu itakuwa vigumu kuwakabili.
Kuna maeneo mengi dar uhalifu ukitokea watu wanajitokeza na wana dhibiti,hadi kuwamalizaHalaf ukishapiga kelele ndo nani akusaidie? Unawajua watu wa dar ww
Ukishawafanyia kitu mbayaMAJI WANGEITA MMA AU SIO
mbona simpo tu wakiwa na vitendea kazi imaraπ³ π³ Hivi huwa wanavunjaje mlango? Na grill wanavunja?
Nielekeze. Si lazima kuwe na makelele ya kugonga gonga au?mbona simpo tu wakiwa na vitendea kazi imara
Kabisa yaani husogeiUkishawafanyia kitu mbaya
Lazima msg iwaende wenzao
Kuwa maeneo fulani,syo ya kwenda
Kufanya uhalifu
Ova
kuna wengine wanakuja na nyundo kubwa, jiwe kubwa wanavunja na mikasi maalumu ya kukatia vyumaNielekeze. Si lazima kuwe na makelele ya kugonga gonga au?
π³π³Kumbe Kuna mikasi ya kukatia vyuma! Kwahiyo hata kama tumejifungia kwenye grill sio kwamba tuko salama ni kwamba hawajaamua tu! Naogopa sana!kuna wengine wanakuja na nyundo kubwa, jiwe kubwa wanavunja na mikasi maalumu ya kukatia vyuma
Grill mara nyingi huwa inapigwa jekiπ³π³Kumbe Kuna mikasi ya kukatia vyuma! Kwahiyo hata kama tumejifungia kwenye grill sio kwamba tuko salama ni kwamba hawajaamua tu! Naogopa sana!
Ni grill na mlango wakati wa mchana usiku ni biscuit tu[emoji15] [emoji15] Hivi huwa wanavunjaje mlango? Na grill wanavunja?
Najua jeki basi!!! π€―Grill mara nyingi huwa inapigwa jeki
(Wanatumia jeki)
Ova
πππ Hawa wanawadekeza Sana yani ingekua ni mbeya huu upuuz usingekuepo tena,waliokua wanawaua vijana wa bodaboda na kuwapora pikipk zao hili wanalijua namna wenzao walivyo uliwa hadhalani nawaoMAJI WANGEITA MMA AU SIO
NI KUMUOMBA MUNGU TU ILA HALI NI MBAYAπ³π³Kumbe Kuna mikasi ya kukatia vyuma! Kwahiyo hata kama tumejifungia kwenye grill sio kwamba tuko salama ni kwamba hawajaamua tu! Naogopa sana!