Wananchi wenzangu Shime tuwafichuke wahalifu wa aina zote mitaani kwetu ili Polisi wawachukulie hatua.
Wahalifu wafuatao tunaishi nao kwenye mitaa yetu au maeneo yetu;
1. wauzaji wa madawa ya kulevya
2. wavutaji wa bangi.
3. Majambazi.
4. vibaka.
5. wabakaji
n.k
tuwafichue, toa taarifa kwa njia ya siri kwa jeshi la polisi na ninaamini watakamatwa.