Familia Tajiri ya kihindi yenye ukwasi wa Trilioni 100+ yahukumiwa Jela kwa kuwanyanyasa wafanyakazi wa ndani na kuwalipa malipo kiduchu

We mbuzi We mbusi ume funguliwa Toka ban
Hahaha nimecheka kwa sauti kubwa sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu tunapokutana kwenye mikusanyiko eg: kanisani, harusini, misabani nk nk, walivyo na bashasha na uchangamfu mwingi waweza kudhani ni watu wema sana na wastaarabu, kumbe wengi wana roho mbaya sana linapokuja suala la kutreat mtu baki.

Kuna mengi ya kueleza, lakini ngoja niishie hapa.
 
Yes na yule maskini anaona anastahili kubwa maskini na kumtumikia huyo wa juu without any complaints... Wanawaita sidra sijui kama sikosei
Nawajua hawa. Nikikuwa manager wao nafanya kazi US wao wako India.

Siku ya kwanza naanza kazi nikawaambia kwamba mimi management style yangu ni collaborative.

Walistuka sana. Mwishowe kabisa waliniambia wao walishazoea mtu akiwa meneja anakuwa mtu wa kuwafokeafokea tu, walikuwa hawajawahi kupata meneja wa kuwaambia kwamba yeye style yake ni collaborative.
 
a
Omba utoke salama wasikuloge,ni wachawi sana,anaweza akakutoa kafara.
Ni mhindi mmoja namjua ana roho nzuri sana ni lecture yupo kama mzungu tu.
au ni prof shvji
 
Hakuna mhindi,mwarabu au mchina mwenye roho hii. Watanzania hatusafiri na hatujui dunia ilivyo .Wahindi, waarabu na wachina wanaishi kimatabaka. Wao kwa wao wanabaguana je wewe watakupa nafasi ? Mzungu atabaki kuwa mzungu tu. Wazungu wanaweka ubinadamu kwanza. Mambo mengine baadae.
 
Yeah Wahindi wengi wanazingu ila baadhi ni wayu poa sana akiwepo mkuu wa shule. Nakukumbuka sana Sister kwa upendo wako popote ulipo Mungu azidi kukubariki.
Hao watu poa sio Wahindi... Huwajui wahindi we mtoto. Ulifananisha kimuonekano ukadhania ni muhindi. Tulia!
 
Ata kwenye malipo mzungu hana longolongo...njoo kwenye hizi kabila zingine ni kunyonyana tuu ili mradi aone unateseka
 
Nilijaribu kuliongelea hili huku lakini watu hawaelewi. Hawajui kwanini Dewji amekimbia Gujirati na kuja huku Tanzania. Hawajui kwa nini baadhi ya wahindi waislamu wa Gujirati wanabaguliwa ? Huku nilipo wahindi, waarabu na wachina wana na group ya WhatsApp tofauti japo wametoka nchi moja. Ukikutana na mwarabu wa Saudia Arabia ukamwambia rafiki yako aliyetoka Saudi Arabia atakuuliza jina ? Ukimjibu atakwambia usimpe namba yake. Ukihoji anakwambia hayupo level sawa na yeye. Kuna wahindi wanatoka South Afrika, Botswana, Zimbabwe na Zambia wanasomeshwa huku Ulaya na wamenunuliwa hadi magari na wazazi wao. Wahindi wanaotoka India wanashangaa. Kuna wahindi kibao wakimaliza masomo wanataka kuja Afrika maana wanaona wenzao waliotoka Afrika wana hela kuliko wao waliotoka India.
 
Uarabuni hakuna hizo kesi. Ni siasa na vita baridi ya udini, huna unachoelewa wala kujua. Kwanza wale ni matajiri na Wasomali, Waarab na Wazungu kwenye malipo hawanaga dhulma.

Labda manyanyaso ya kingono. Na haya yapo all over the world!
Na wale jamaa wa kule Arabuni wangekua wanashughulikia hizi kesi kama hivi hizi mambo zingekoma.
 
Ukweli unaouma. Safi kijana! Mchango mzuri sana!
 
Uarabuni hakuna hizo kesi. Ni siasa na vita baridi ya udini, huna unachoelewa wala kujua. Kwanza wale ni matajiri na Wasomali, Waarab na Wazungu kwenye malipo hawanaga dhulma.

Labda manyanyaso ya kingono. Na haya yapo all over the world!
Dubai kazi moja Mwafrika, mhindi, mchina na mzungu mnalipwa tofauti nimeshuhudia kwa macho yangu Safirii ujionee.kama nilivyoanisha hapo juu mshahara unapanda kwa tabaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…