Familia Tajiri ya kihindi yenye ukwasi wa Trilioni 100+ yahukumiwa Jela kwa kuwanyanyasa wafanyakazi wa ndani na kuwalipa malipo kiduchu

Nchi zenye sheria iliyosimama, hapa kwetu atafaidika meendesha mashitaka na hakimu na hata rais ili mwenye nazo asiende jela!
 
Bilioni 2 ni ndogo san
aaa Kwa fidia, huo ukwasi wa Trillion 100+
Sheria inafuata muda uliopunjwa, kiasi ulichostahili kulipwa na faini inayohusiana na hayo, haiangalii kwa kuwa wewe ni bilionea basi uhukumiwe kulingana na utajiri wako. Tz yapaswa kujifunza!
 
Shida kubwa ya wahindi hawana hofu ya mungu kwasababu hawaamini kama kuna mungu ndio shida hyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…